Simba yaufyata kwa Kigwangwala, wampigia simu, kutia nguvu

Simba yaufyata kwa Kigwangwala, wampigia simu, kutia nguvu

Hilo ni vurugaji tuu, kuna watu wapiga dili wapo nyuma yake, manataka kuwavuruga Mo na Barbara wanaoonekana kuendesha timu kisasa na kuifanya ifahamike sehemu mbalimbali duniani, wanataka hiyo nafasi ili wale hela za viingilio na za mfadhili. Hawana uwezo hata wa kulisha timu siku moja
 
Habari uliyoleta hapa nimeisoma yote sijaona popote huyo Kigwa wako aliposema kaombwa msaada wa fedha za usajili, huu utoto wako wa kujitungia story mpaka lini.
Tuliza ngenga weeeee. tajiiri la Q net jana lilitoa hii amri na leo imetekelezwa..subiri sasa uone matusi ya Kigwa the don
bagaile 2.JPG
 
Amepigiwa simu kupewa updates ili aache kuropoka mitandaoni asiyoyajua, utopolo huwezi kuelewa jambo dogo kama hili?!
Kwani anayeropoka mitandaoni ni Kigwa pekee??
Walipiguwa simu hao wengine??
 
Back
Top Bottom