Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Inabidi simba wajitambue. Haiwezekani recruitment ya makocha inakuwa mbovu maana yake screening process ni mbovu kabisa...
Babra na watu wa usajili wana tatizo la ubahili , hawajui usajili ni kutoboka tu ,tumekaa msimu mzima hatuna striker wa maana baada ya Mugalu na Kagere kuflop.

Halafu watu wanasubiri mastraika unaleta mzungu ambaye ahama tofauti na Bocco, scouting ya Simba ni ya kipumbavu ,haiwezekani msimu mzima mnamtafuta strike na mkamkosa unaleta mzungu wakati Mugalu na kagere umeshawaacha.

Akpan hapewi nafasi,nafasi zao Zina watu wengi halafu unajaza kibao wakati striker hamna,what a shame ,sometimes naona wakutimuliwa ni Babra.
 
Samaki Mkunje angali mbichi..
 
Halafu Kuna Makolo bado wanajipa matumaini kuwa Wana timu ya kuchukuwa ligi, kumfunga Yanga na kuingia makundi CAF....HIV nyie Makolo ni kwa Timu gani mliyokuwanayo.

YangaTutaendelea kuchukuwa makombe yote Hadi mkimbie nchi.

Just imagine Timu inaingia mashindanoya kimataifa halafu Haina Kocha na bado uongozi una migogoro..
 
Nyumbu wamevamia uzi wanasahau hata al ahly wametimua kocha wao baada ya kudumu naye kwa miezi miwili tu club zenye malengo makubwa hazikai na makocha.
 
Mwaka huu kazi ipo...huku simba kule chelsea ntakonda
 
Mletee mdhunguu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
hamna aliyeko serious na Yanga, Simba malengo ni kimataifa siyo kushindana na Yanga wenye malengo ya kumfunga simba
 
Mpeni timu Matola sasa.

Na mwezi wa 10 msipokaa sawa mtamfukuza mwingine
Matola hana leseni ya kuweza kumruhusu kukaa kwenye benchi kama head coach kwa Caf champions league ila kama sio hvyo angeachiwa team.
 
Mnamuonea kocha bure ndugu zangu Makolokolo.


Halafu,mechi ile bao limeingia golikipa analitazama kwa macho kabisa!
Pale hata ningekuwa Mimi ningedaka.

Mnamuonea Bure kocha.




Mletee mdhunguu weuwee

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…