Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Kocha pia kasajili, mzungu kamleta yeye, Outtara kamleta yeye, sasa kuna viwango gani pale
Simba hata mkitoa huyo Quattara na Mzungu still bado hamjatibu matatizo yenu kwani mbele mpo hovyo.
 
Acha ujinga kocha anakuletea wachezaji kama mzungu afu umpe maamuzi ya kununua wachezaji team si itashuka daraja
Kwani kocha kaleta wangapi n viongozi wameleta wangapi?

Mnampa lawama Kocha kwa wachezaji walio sajiliwa na viongozi.

Ila si shangai wewe sababu ya ujinga wako na upuuzi wako unaona wamefanya cha maana,jifunzini mbele huko mpe fungu kocha la usajili, mpe muda na umpe target.

Vp huyo atakaye kuja akiwa mpuuzi zaidi ya huyo kwa timu walio sajili vingozi wako mtamfukuza?.
 
Former Wydad Casablanca head coach Zoran Manojlovic has reached an agreement with Egyptian side Itthad Alex SC to be their next head coach.

According to Filgoal, Serbian International Zoran Manojlovic has reached an agreement with the Egyptian side ahead of their League campaign after placing 12TH in the Egyptian League last season.

Tanzanian Club Simba FC is currently coached by 60-year-old coach Zoran. Zoran won the Algerian League, the Angolan League twice, and the Angolan Super Cup during his coaching career.

Last season, Al Ittihad of Alexandria finished 12th in the Egyptian Premier League table with 38 points.According to reports, the Serbian coach will be paid $30,000 per year.
 

Mbona ndogo sanaaa. Labda kwa mwezi
 
Yani kwenye CV zaidi ya 100 waliona Zoran ndiyo anafaa? Nilishangaa sana.


Matola nae asome apate leseni, kazi kufuga ndevu tu.
 
Sasa inakuwaje..huyu si ndio tuliaminishwa kuwa ni kocha wa vikombe.....
 
Ndio tabu ya mpira kuujulia ukubwani, kwani huyo kocha kasajili wachezaji wangapi?

Acha kupayuka kama umekalia gunzi.

NB:Jifunze kujibu hoja bila matusi K#ma wee.
Na wewe huwa unatoaga lugha hizi ndugu?
 
Na wewe huwa unatoaga lugha hizi ndugu?
Sijapenda alivyo anza ianglia comment ya pili nilivyo mjibu Dabil na nilivyo wajibu wawili .Hii JF mtu akija kihuni anajibiwa kihuni akija kistaarabu tunaenda nae kistaarabu.
 
Itakuwa Zoran kalamba dili nono timu fulani...

Ila hili la kuondoka makocha ovyo ni la kulitafutia tiba....
 
Lete Pitso Mosimane tumalize kazi.

SIMBA NGUVU MOJA
Pitso Pesa ndefu.Kwa ubahili ulipo pale Simba hawawezi kumleta.

Ila ningetamani Sana Babra nae muda wake ufike mwisho pale Simba.

Namuona nae kama Tatizo pale.Tutakuja kugundua hili tukiwa tumepoteza mwelekeo kabisa
 
Safi sana fukuza ilo galasa, kwanza alikuwa hajutii akipoteza mchezo yupo normal tu kama timu ya babaake 2mbaf sana.
 
Hatima ya Mlete Mzungu iko mashakani
Ile ni hasara nyingine kwa timu. Muda si mrefu ataomba na yeye aondoke.

Ukijumlisha na kishika uchumba kwa Manzoki, utaona ni kwa nini walezi wao wameona ni heri waibanie Yanga kwa Tuisila Kisinda. Ni kwa ajili ya kufidia tu maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…