joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Simba hata mkitoa huyo Quattara na Mzungu still bado hamjatibu matatizo yenu kwani mbele mpo hovyo.Kocha pia kasajili, mzungu kamleta yeye, Outtara kamleta yeye, sasa kuna viwango gani pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba hata mkitoa huyo Quattara na Mzungu still bado hamjatibu matatizo yenu kwani mbele mpo hovyo.Kocha pia kasajili, mzungu kamleta yeye, Outtara kamleta yeye, sasa kuna viwango gani pale
Huko mamelody sundowns, Al Ahly Wydad kuna mchezaji kama Kibu D, Bocco, Mkude Kyombo Mzamiru?Simba huwa hawaiangalii yanga, huwa wanaiangalia Al Ahly, Zamalek, Wydad, Raja, Esperance, Mamelodi, TP Mazembe na the like
Kwani kocha kaleta wangapi n viongozi wameleta wangapi?Acha ujinga kocha anakuletea wachezaji kama mzungu afu umpe maamuzi ya kununua wachezaji team si itashuka daraja
Former Wydad Casablanca head coach Zoran Manojlovic has reached an agreement with Egyptian side Itthad Alex SC to be their next head coach.
According to Filgoal, Serbian International Zoran Manojlovic has reached an agreement with the Egyptian side ahead of their League campaign after placing 12TH in the Egyptian League last season.
Tanzanian Club Simba FC is currently coached by 60-year-old coach Zoran. Zoran won the Algerian League, the Angolan League twice, and the Angolan Super Cup during his coaching career.
Last season, Al Ittihad of Alexandria finished 12th in the Egyptian Premier League table with 38 points.According to reports, the Serbian coach will be paid $30,000 per year.
Mbona ndogo sanaaa. Labda kwa mwezi
www.soccanews.com
Tunampa million zake 400 kwa mwezi tunasuburia kombe letu tuu mwezi mayLete Pitso Mosimane tumalize kazi.
SIMBA NGUVU MOJA
Kusoma kugumu wewe usichukulie poaYani kwenye CV zaidi ya 100 waliona Zoran ndiyo anafaa? Nilishangaa sana.
Matola nae asome apate leseni, kazi kufuga ndevu tu.
Na wewe huwa unatoaga lugha hizi ndugu?Ndio tabu ya mpira kuujulia ukubwani, kwani huyo kocha kasajili wachezaji wangapi?
Acha kupayuka kama umekalia gunzi.
NB:Jifunze kujibu hoja bila matusi K#ma wee.
Sijapenda alivyo anza ianglia comment ya pili nilivyo mjibu Dabil na nilivyo wajibu wawili .Hii JF mtu akija kihuni anajibiwa kihuni akija kistaarabu tunaenda nae kistaarabu.Na wewe huwa unatoaga lugha hizi ndugu?
Pitso Pesa ndefu.Kwa ubahili ulipo pale Simba hawawezi kumleta.Lete Pitso Mosimane tumalize kazi.
SIMBA NGUVU MOJA
Tatizo ubahili wa kanjibhai ...Lete Pitso Mosimane tumalize kazi.
SIMBA NGUVU MOJA
Biashara kichaa inaweza kufanywa na utopolo tu. Manzoki anakuja bureMngekua level hizo msingeshindwa kuvunja mkataba wa manzoki
Ile ni hasara nyingine kwa timu. Muda si mrefu ataomba na yeye aondoke.Hatima ya Mlete Mzungu iko mashakani
Mkuu za kushinda 😅😅😅Tatizo vyeti kaka
lakini afadhali kocha aondoke kuliko kutuongezea mzigoSimba hata mkitoa huyo Quattara na Mzungu still bado hamjatibu matatizo yenu kwani mbele mpo hovyo.