zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ndio ujinga upi huo mkuu?ujinga mputu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ujinga upi huo mkuu?ujinga mputu
Wewe unatakaje mkuu?Simba tatizo ni wachezaji
Huwezi mkumbatia
Bocco
Nyoni
Mzamiru
Banda
Kakolanya
Manura
Kibu ukategemea utafanikiwa
TobaaaaKlabu ya Simba imesema imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa kikosi chao Zoran Maki
Vilevile wamesitisha mikataba ya Kocha wa viungo Sbai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid
Inabidi simba wajitambue. Haiwezekani recruitment ya makocha inakuwa mbovu maana yake screening process ni mbovu kabisa.Ni ukweli ,na kocha anawaacha wachezaji wazuri anaingiza wale ambao hawachezi ? Yule kocha wa hovyo
Pamoja na hayo wachezaji ni mali ya club, yeye amepewa timu afundishe siyo aanze kuwakataa wachezaji wakifukuzwa atalipa yeye gharama za kuvunja mikataba yao? Asepe tu hana jipya mpaka leo hii hana first eleven na ligi imeshaanza.Kocha pia kasajili, mzungu kamleta yeye, Outtara kamleta yeye, sasa kuna viwango gani pale
Makolo skili zao wanazijua wenyeweKlabu ya Simba imesema imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa kikosi chao Zoran Maki
Vilevile wamesitisha mikataba ya Kocha wa viungo Sbai Karim na Kocha wa makipa Mohammed Rachid
Kocha wa DuniaKumekucha.... Hi imekuja mapema sana....
Tatizo nini hadi wavunje mkataba...
#NguvuMoja...
Shida inakuja wanaokuwa wasimamiz hawakuwa kwenye footballTukisema viongozi wajiuzulu mnatunanga ndio maana tunaitwa mambumbumbu
Walimuwekea vipengere vigumu sana kweny mkataba wakeSafiii.huyu kocha mimi sikuwai kumuelewa.
Bora wao wanazo akili Utopolo ndiyo hawana akili kabisaaa ni mazombie tuMakolo skili zao wanazijua wenyewe
Team imeshuka kiwango wanamsingizia kochaKumekucha.... Hi imekuja mapema sana....
Tatizo nini hadi wavunje mkataba...
#NguvuMoja...
CEO wetu anamadhaifu makubwa ila muda ukifika itafahamika tu,kwasasa ukilisema hilo aueleweki mpaka muda sahihi utakapofika.Walimuwekea vipengere vigumu sana kweny mkataba wake
Ukweli mchungu huuSimba tatizo ni wachezaji
Huwezi mkumbatia
Bocco
Nyoni
Mzamiru
Banda
Kakolanya
Manura
Kibu ukategemea utafanikiwa