Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

Simba tatizo ni wachezaji

Huwezi mkumbatia

Bocco
Nyoni
Mzamiru
Banda
Kakolanya
Manura
Kibu ukategemea utafanikiwa
Wewe unatakaje mkuu?

Sema ueleweke nani apigwe chini au wote?
 
Ni ukweli ,na kocha anawaacha wachezaji wazuri anaingiza wale ambao hawachezi ? Yule kocha wa hovyo
Inabidi simba wajitambue. Haiwezekani recruitment ya makocha inakuwa mbovu maana yake screening process ni mbovu kabisa.

Kocha wakukuoeleka final ya champions league bwana lazima uumie tuu mfukoni. Hapo sasa sima wamshushe mosimane kama kweli wapo serious
 
Kocha pia kasajili, mzungu kamleta yeye, Outtara kamleta yeye, sasa kuna viwango gani pale
Pamoja na hayo wachezaji ni mali ya club, yeye amepewa timu afundishe siyo aanze kuwakataa wachezaji wakifukuzwa atalipa yeye gharama za kuvunja mikataba yao? Asepe tu hana jipya mpaka leo hii hana first eleven na ligi imeshaanza.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom