Kama hiyo timu ilicheza na wababe sawa ila kama ilicheza na vitimu vya kajificheni silioni somo..Msimu uliopita kuna timu ilitoa somo la jinsi ya kucheza fainali na sio kuishia robo, msimu huu kaishaingia anapiishia mwenzie ngoja tuone kama na huku atatoa somo hilo au lah
Kama unajua mpira je Yanga imefuzu robo fainali kwenye mechi ipi?Nimeandika pumba!! Naujua mpira kuliko unavyofikiria Simba mseme kwenye ligi ila kweny CAF champion ni Habari nyingine
Kwenye CAF champions league si mnaishiaga kwenye hatua ambayo Yanga imeingia au kuna kipi kipya tofauti na hiko?Nimeandika pumba!! Naujua mpira kuliko unavyofikiria Simba mseme kwenye ligi ila kweny CAF champion ni Habari nyingine
Embu kwanza kwa kunitajia wababe ili niwajue.Kama hiyo timu ilicheza na wababe sawa ila kama ilicheza na vitimu vya kajificheni silioni somo..
Kwani na nyie mlikuwa mnakwama wapi tena kwa miaka mingi tu?Sisi tulikua tunashiriki kwa kanuni, na nyie washiriki wa halali mlikua mnakwama wapiiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walisababisha msiba mkubwa sana Iringa mjini, watu 13 walifariki dunia baada ya basi la Fresh ya Shamba kuligonga daladala (hiace). Konda wa fresh ya Shamba alichukua gari pasipo ruhusa ya dereva akawa analiendesha zigzag style kusherehekea ushindi wa yangaKwani Yanga walikosa magoli mangapi?
Mbona hata Yanga alimchapa mtu(Coffee ya Ethiopia) bao 6-1 kutinga hatua ya makundi mwaka 1998?
Hatua ya Robo CL, Historia inaonyesha ndo Mara Ya Kwanza kwa Yanga.mtoto wa elf mbili hujui chochote kasome historia vzr
Ilitakiwa aandike kabla makolo hajachezaNdio nimeshangaa, yaani Yanga imefuzu tokea wiki iliyopita halafu mtu anakuja kuandika pumba hapa. Inawezekana mpira ajui huyo anafikiria labda Yanga imefuzu jana.
Kwahiyo yeye ana makombe mangapi walioshinda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko toka mwaka huo had leo hamjawahi shiriki makundi ya CL?
Endelea kukaza fuvu sina muda wa kubishana najua unaelewa..Embu kwanza kwa kunitajia wababe ili niwajue.
Maana Tp Mazembe alikuwepo kule alipigwa nje ndani. Au ulikuwa unakusudia wababe kama vile bingwa wa Algeria aliyekula goli nne?
Nakuuliza wee badala ya kujibu unajiuma uma, miaka mingi kuzidi nyie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani na nyie mlikuwa mnakwama wapi tena kwa miaka mingi tu?
Kwa maneno mengine, ukiacha miaka hii mitano ikiwemo kama miwili ya kushiriki kwa kanuni, huko nyuma mlikuwa mnafeli wapi?
Mbona hilo swali hujiulizi kabla ya kutuuliza sisi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajibu nisicho uliza. Vipii kwemaaaa??Kwahiyo yeye ana makombe mangapi walioshinda?
Hii mada inazungumzia kutinga robo fainali.Kwani Yanga walikosa magoli mangapi?
Mbona hata Yanga alimchapa mtu(Coffee ya Ethiopia) bao 6-1 kutinga hatua ya makundi mwaka 1998?
Mbona hilo swali umelikwepa?Hii mada inazungumzia kutinga robo fainali.
Achana na hatua ya makundi.
Ukitaka kuzungumzia hatua ya makundi fungulia thread yake.
RS Berkane aliyekugonga nje ndani mwaka jana, yupo hukoFinal ya ma luza ndio ya kututambia humu ewe shabiki wa Zuwena Fc?
πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani mbumbumbu wanachekesha sanayaani timu iliyocheza fainali mwaka jana tu hapo ndo ifundishwe kufuzu robo!!!
akili zenu huwaga zipo kwenye mat@ko nini!!!
Ana makombe mangapi ya CAF mpaka awe habari nyingineNimeandika pumba!! Naujua mpira kuliko unavyofikiria Simba mseme kwenye ligi ila kweny CAF champion ni Habari nyingine