Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

Ndio nimeshangaa, yaani Yanga imefuzu tokea wiki iliyopita halafu mtu anakuja kuandika pumba hapa. Inawezekana mpira ajui huyo anafikiria labda Yanga imefuzu jana.
Wanatanzania mmejaa chuki sanaa sasa mleta mada ameandika kipi cha kuibeza timu moja wew nyumbu mwenye chuki tele ..hv simba ni jambo geni kuingia robo fainali au unalazimisha kubishana na ukweli em angalia Wydad kaishia makundi lakn umeona wanasemana vibaya badala yake wanajiuliza wanafelishwa na nini
 
Mzee, Yanga kampiga bingwa wa Algeria goli nne na kufuzu hapo hapo sio makirikiri hata history ya mashindano ya CAF hawana. Yaani Yanga walishatangulia kufuzu tokea tarehe 24. Vipi ulikuwa kijijini?
Na pia ninyi mlipigwa 3 mabingwa wa kihistoria na mabingwa mara mbili mfululizo NBC premier league sasa wewe unaona kitu kipya kumpiga nne ,.sisi tumefuzu lakini hakuna aliyezimia
 
Na pia ninyi mlipigwa 3 mabingwa wa kihistoria na mabingwa mara mbili mfululizo NBC premier league sasa wewe unaona kitu kipya kumpiga nne ,.sisi tumefuzu lakini hakuna aliyezimia
Hakuna aliyezimia kwasababu mmepiga bomu mochwari. Yanga kamtoa timu ambayo kwenye rank ya CAF ipo nafasi ya 8 na pia wao robo fainali ni jambo la kawaida kucheza. Sasa hao Galaxy wana maajabu gani kwenye hii michuano?
 
Ni vema tukafahamishwa ili tuchangie pesa za Matibabu , ni nani kati ya Washabiki au viongozi wa Simba aliyezimia baada ya Simba kuingia Robo fainali ya CAF CHAMPIONS LEAGUE ?

IMG-20240303-WA0007.jpg
 
Hakuna aliyezimia kwasababu mmepiga bomu mochwari. Yanga kamtoa timu ambayo kwenye rank ya CAF ipo nafasi ya 8 na pia wao robo fainali ni jambo la kawaida kucheza. Sasa hao Galaxy wana maajabu gani kwenye hii michuano?
Hahaha nahisi part of your brain inayohusika na kuhifadhi kumbukumbu ina shida you need a medication
 
Back
Top Bottom