Simba yaweka record duniani dk 90 bila shoot on target

Simba yaweka record duniani dk 90 bila shoot on target

Hii ndio record iliyowekwa Jana na vijana wa mudi .....Baada ya mpira kuisha dk 90 bila hata Simba kupiga shoot lililo lenga lango ( on target)
Chukua na hii hapa, tena bahati nzuri aliiweka Ali Kamwe, msemaji wa Yanga. Angalia item namba 8 :

8: YANGA wamecheza Dakika 90 bila Shot On Target. Why? Kuna ubora wa Pablo Tactically kwenye kujilinda Lakini kwa kiasi fulani Uongozi wa Yanga umejua ni Quality gani ya kuongeza kwenye kikosi chao kudeal na 1v1
 
Kolo na mpira dk 90 bila shoot on target 😂😂
 
Attachments

  • 1726429736241.jpg
    1726429736241.jpg
    227.1 KB · Views: 2
Simba wamesajili wachezaji wa kawaida mnoo wala siyo ajabu. Mwezi wa kwanza fukuza fukuza itaendelea.
 
Utopwinyo kwa kuzua. Ukijilinda unawezaje kufika golini Kwa mpinzani wako.

Hao Al Ahly waliokuwa na shot on target wamefaidika nazo vipi? Wamefunga goli ngapi?
 
Labani og acha utopwinyo wako. Hakuna kitu kinaitwa "Shoot on Target" kwenye Mpira.

Umeletewa ushahidi wa nyie utopolo kumaliza gemu na Simba bila shot on target na Lupweko unatangatanga tu
 
Utopwinyo kwa kuzua. Ukijilinda unawezaje kufika golini Kwa mpinzani wako.

Hao Al Ahly waliokuwa na shot on target wamefaidika nazo vipi? Wamefunga goli ngapi?
Simba sio timu ya kukosa shoot on target
 
Back
Top Bottom