Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Chukua na hii hapa, tena bahati nzuri aliiweka Ali Kamwe, msemaji wa Yanga. Angalia item namba 8 :Hii ndio record iliyowekwa Jana na vijana wa mudi .....Baada ya mpira kuisha dk 90 bila hata Simba kupiga shoot lililo lenga lango ( on target)
Alikamwe "Mambo 10 nilioyaona YANGA vs SIMBA"
Soma Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo, Siasa, Mapenzi na Mengine Mengi Kutoka Tanzania
8: YANGA wamecheza Dakika 90 bila Shot On Target. Why? Kuna ubora wa Pablo Tactically kwenye kujilinda Lakini kwa kiasi fulani Uongozi wa Yanga umejua ni Quality gani ya kuongeza kwenye kikosi chao kudeal na 1v1