Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

ACHANA NA WALE.WAMBEA WA TAIFA:Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania leo imeweka rekodi ya dunia ya kuwa timu ya kwanza ya soka duniani kupanda Dreamliner ya Air Tanzania waliposafiri kutoka KIA kwenda Mwanza.
 
ACHANA NA WALE.WAMBEA WA TAIFA:Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania leo imeweka rekodi ya dunia ya kuwa timu ya kwanza ya soka duniani kupanda Dreamliner ya Air Tanzania waliposafiri kutoka KIA kwenda Mwanza.View attachment 839082
Kwani kuna shida kusema dreamliner yetu imepona Kwani si tulisema imeharibika,
 
Kazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.

Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hebuu πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kweli watanzania wengi wanaumwa. Kupanda ndege ni habari? Nilidhani Simba nao wamenunua ndege. Haina tofauti kuingia kijijini na Gari aina ya Starlet kijiji kizima wanaikimbiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…