Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna shida kusema dreamliner yetu imepona Kwani si tulisema imeharibika,ACHANA NA WALE.WAMBEA WA TAIFA:Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania leo imeweka rekodi ya dunia ya kuwa timu ya kwanza ya soka duniani kupanda Dreamliner ya Air Tanzania waliposafiri kutoka KIA kwenda Mwanza.View attachment 839082
😂😂😂 kuzidi hovyo yenyewe. Teh teh teh.Uzi wa hovyo.
Tulia uelewe maana ya huu uziKweli watanzania wengi wanaumwa. Kupanda ndege ni habari? Nilidhani Simba nao wamenunua ndege. Haina tofauti kuingia kijijini na Gari aina ya Starlet kijiji kizima wanaikimbiza.