Urongo mbona Kibadeni daima nyumaHahahahaaa! Unahitaji kuwa na upungufu wa akili kuwa mpenzi/mshabiki au mwanachama wa simba...DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urongo mbona Kibadeni daima nyumaHahahahaaa! Unahitaji kuwa na upungufu wa akili kuwa mpenzi/mshabiki au mwanachama wa simba...DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Ata yakipita yatakuachia historia..!Hahaaa. Umejua kunishtua nilivyoona quote yako basi nikajua bonge ya shushu.
Ila mapito tu haya ujue.
Tuwaombee wafike salama, itue kwa amani...Si walisema ni Mbovu sasa Simba walipanda Picha ya Ndege au?
Sasa mtani wangu kipenzi embu rudi kasome uzi upya af unionyeshe mahali panasemaIla nimeongelea kitu cha msingo Mtani.
Nyie ndio mmeizindua hiyo ndege au ishawahi kupandwa na wengine? Tuanzie hapo.
Daah!!wewe ni mtani?, kama sio niwie radhi.Hahahahaaa! Unahitaji kuwa na upungufu wa akili kuwa mpenzi/mshabiki au mwanachama wa simba...DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Hahahaaaa. Sio mbaya lakini Mtani.Ata yakipita yatakuachia historia..!
Sasa cha ajabu kiko wapi jamaani.Sasa mtani wangu kipenzi embu rudi kasome uzi upya af unionyeshe mahali panasema
Simba imezindua dreamliner?
Hahahaaa. Sema wewe mwaya.Hahahahaaa! Unahitaji kuwa na upungufu wa akili kuwa mpenzi/mshabiki au mwanachama wa simba...DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
😂😂😂😂😂😂 lol.Urongo mbona Kibadeni daima nyuma
Pole sana mtani wangu kipenzi maaana msimu huu dereva wenu lazima azitambue vizuri alama zote za barabaraniSasa cha ajabu kiko wapi jamaani.
Mtani haya ndio matumizi mabaya ya mitandao Hahahaaaaa. [emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaaa. Jamaaani.Et Yanga ndio wambea Wa taifa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za Simba kama watoto tuu, likipigwa Pilau wanashangilia, cha ajabu kipi hapo sasa? Hovyo kabisaKazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.
Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Yule mchafuzi wa vijana😂😂😂😂😂😂 lol.
Hahahaaaaa. Haijalishi lakini kikubwa kufika Mtani.Pole sana mtani wangu kipenzi maaana msimu huu dereva wenu lazima azitambue vizuri alama zote za barabarani
Sema wewe. Maana kelele nyiiingi.Habari za Simba kama watoto tuu, likipigwa Pilau wanashangilia, cha ajabu kipi hapo sasa? Hovyo kabisa
Wa mchangani hao, ndege kwao ni ufahariSema wewe. Maana kelele nyiiingi.
Ndege kitu gani banaaa. Teh teh. [emoji12]
Ili utuaminishe kua huo niumbea mnatakiwa na nyie mpande dreamliner mtani wangu kipenzi.Hahaaa. Jamaaani.
Na hawa waliojiselfie nao? Si ndio wambea zaidi Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]