Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Kuna siku abiria watashushwa angani kwa ajili ya kufanya repair ndogo. Bado ipo kwenye majaribio ndege yetu ya ndoto.
 
Sasa cha ajabu kiko wapi jamaani.

Mtani haya ndio matumizi mabaya ya mitandao Hahahaaaaa. [emoji12][emoji12][emoji12]
Pole sana mtani wangu kipenzi maaana msimu huu dereva wenu lazima azitambue vizuri alama zote za barabarani
 
Kazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.

Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]

Hebuu [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Habari za Simba kama watoto tuu, likipigwa Pilau wanashangilia, cha ajabu kipi hapo sasa? Hovyo kabisa
 
Kuna wengine watakuja piga nayo picha...ikiwa na miaka mitatu sokoni hahaha
 
Back
Top Bottom