Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Na mazowea pia. 😂😂😂😂Wa mchangani hao, ndege kwao ni ufahari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mazowea pia. 😂😂😂😂Wa mchangani hao, ndege kwao ni ufahari
All the best Mtibwa sugar hiyo kesho, funga hao[emoji110]Na mazowea pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa. Lol.Ili utuaminishe kua huo niumbea mnatakiwa na nyie mpande dreamliner mtani wangu kipenzi.
Hahahaaa. Wajiandae kisaikolojia aisee.All the best Mtibwa sugar hiyo kesho, funga hao[emoji110]
Mtani mbona hcho ni kitu cha kawaida alafu huoni kama tumeitangaza 787 yetu kibiashara?[emoji23]Hahahaa. Lol.
Ila mnatambo sana yaani Mtani. Mzaramo kawaharibu. [emoji23][emoji23]
Hao watu ni malimbukeni wa kutupwa , Rage hakukosea kuwaita mambumbumbuHahahaaa. Sema wewe mwaya.
Na wanakutanaga wanafanana kila kitu.
(Mniwie radhi watani zangu ninaowaheshimu)
😂😂😂😂 hamna kitu kama hicho mtani.Mtani mbona hcho ni kitu cha kawaida alafu huoni kama tumeitangaza 787 yetu kibiashara?[emoji23]
Hahahaaa. Sema wewe mwaya. Teh tehHao watu ni malimbukeni wa kutupwa , Rage hakukosea kuwaita mambumbumbu
Hahaaa. Tena Makubwa hasa.Makubwa haya
acha wivu wa kike weweMleta uzi ni mshamba sana. Wakati fulani naona nitajitoa jf ili kuepuka ujinga na ushamba kama huu
Kama kilichobeba maudhui hapo ni neno TIMU, hawajavunja record yeyote. TIMU CCM TULITISHA SIKU YA KWANZA. ROUND KAMA 10 PALE MLIMA KILIMANJARO NIKIWA NA MR. SLOWPOLE.ACHANA NA WALE.WAMBEA WA TAIFA:Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania leo imeweka rekodi ya dunia ya kuwa timu ya kwanza ya soka duniani kupanda Dreamliner ya Air Tanzania waliposafiri kutoka KIA kwenda Mwanza.View attachment 839082
MBU-MBU-MBUAlichosema Aden Rage miaka nyuma kuhusu Mashabikì wa Simba ni sahihi kabisa
Cha kushangaza walijazana pale kwenye ngazi kabla hata mlango haujafunguliwa. Cjui wanamkomoa nani?Wa mchangani hao, ndege kwao ni ufahari