Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Si chadema wametangaza dreamliner ni mbovu??
 
ACHANA NA WALE.WAMBEA WA TAIFA:Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania leo imeweka rekodi ya dunia ya kuwa timu ya kwanza ya soka duniani kupanda Dreamliner ya Air Tanzania waliposafiri kutoka KIA kwenda Mwanza.View attachment 839082
Kama kilichobeba maudhui hapo ni neno TIMU, hawajavunja record yeyote. TIMU CCM TULITISHA SIKU YA KWANZA. ROUND KAMA 10 PALE MLIMA KILIMANJARO NIKIWA NA MR. SLOWPOLE.
 
Wamelipa nauli ya punguzo.....(offer kwa wananchi wanyonge)....yajayo yanafurahisha
 
Jiwe kama mchawi vile yaan kaleta dege la mtumba watu ndo wanasema record ya dunia
 
Back
Top Bottom