shabani mmanga
Senior Member
- Jun 5, 2016
- 138
- 116
Kama wale walio kaa 4yrs kablaWa mchangani hao, ndege kwao ni ufahari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wale walio kaa 4yrs kablaWa mchangani hao, ndege kwao ni ufahari
Hahahaa. Lol.
Ila mnatambo sana yaani Mtani. Mzaramo kawaharibu. 😂😂
Kiwango cha ulimbukeni wao hakina mfano.Kazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.
Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. 😂😂😂
Hebuu 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Wanasema shuzi limepata ......Hahahaaa. Sema wewe mwaya. Teh tej
Hapo cha ajabu ni kipi hadi kuanzisha thread?Ni wachache sana watakao muelewa mleta mada,wengi wanacomment kwa hasira ya chuki tu,record ni record tu,mleta mada amesema hakuna team ambayo imewahi kusafiri na Dreamliner ya ATC ila Simba ndio imekua ya kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawana wajualo Watani zetu.Jiwe kama mchawi vile yaan kaleta dege la mtumba watu ndo wanasema record ya dunia
Hahahaaaa. Niwie radhi Mtani. Maana sitaki kusemwa kiasi hicho.Aisee hebu nitake radhi wee bibie laa sivyo ntakusema mpaka ufe ati.
Shauri ako.
Hahaaaa. Kabisa aiseeee.Kiwango cha ulimbukeni wao hakina mfano.
Hahahaaaaa. KabisaaaaWanasema shuzi limepata ......
Hahahaaaa. Niwie radhi Mtani. Maana sitaki kusemwa kiasi hicho.
Duuh! Ila umeniangusha aiseee. Timu gani hiyo unashangilia na wewe. [emoji12]
Okay. Basi kwa niaba ya Wazaramo mnisamehe jamaani lol.Wala sijamaanisha timu mwaya.
Uniombe radhi kwa kutusema kabila letu vibaya my dear.