Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Ama kweli ushamba ni mzigo .
Wakati Yanga ikishiriki mashindano kimataifa, walipanda dreamliner na airbus mara ngapi?
Ethiopian wanazo nyingi tu na wengi wamezipanda
 
Kazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.

Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. 😂😂😂

Hebuu 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Kiwango cha ulimbukeni wao hakina mfano.
 
Ni wachache sana watakao muelewa mleta mada,wengi wanacomment kwa hasira ya chuki tu,record ni record tu,mleta mada amesema hakuna team ambayo imewahi kusafiri na Dreamliner ya ATC ila Simba ndio imekua ya kwanza.
 
Makao makuu ya simɓa inabidi yahamishiwe chato kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom