Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Wasitubabaishe.Hata sisi tutazindua jezi rasmi za kucheza na "Mbogo-maji"/Bogo-mayi!Klabu ya Simba leo hii imezindua jezi kwa ajili ya mashindano ya African Football League yanayotarajiwa kuanza 20/10/2023 na mechi ya ufunguzi itakuwa ni Simba SC vs National Al Ahly kwenye dimba la Benjamin Mkapa
Vipi, umeuonaje uzi?View attachment 2779819View attachment 2779820View attachment 2779821
View attachment 2779822View attachment 2779823
[emoji2369][emoji15]Za Yanga zi wapi?
mnajitia gharama za bure mkae mkijua mtacheza mechi mbili tu nyie makolo kwenye hiyo ligi ya majaribioKlabu ya Simba leo hii imezindua jezi kwa ajili ya mashindano ya African Football League yanayotarajiwa kuanza 20/10/2023 na mechi ya ufunguzi itakuwa ni Simba SC vs National Al Ahly kwenye dimba la Benjamin Mkapa
Vipi, umeuonaje uzi?View attachment 2779819View attachment 2779820View attachment 2779821
View attachment 2779822View attachment 2779823
nyie utopolo hamchezi kabisa maana CAF haiwatambui 😁. Hatuhofii gharama maana tumepewa 5.8B za vitu vidogodogo kama hivyo 😁mnajitia gharama za bure mkae mkijua mtacheza mechi mbili tu nyie makolo kwenye hiyo ligi ya majaribio
Katika hizo mechi mbili simba atalipwa sh ngapi na hao caf?mnajitia gharama za bure mkae mkijua mtacheza mechi mbili tu nyie makolo kwenye hiyo ligi ya majaribio
nyie mmetumwa mtujaribie kwanza km hiyo ligi itafaa kisha baadae na sisi tuje,hawawezi kutusumbua sisi tumetoka kucheza fainali juzi tu hapo tumechoka..nyie utopolo hamchezi kabisa maana CAF haiwatambui
nyie hata mkipewa b100 zitaishia mdomoni mwa kanjibai tu,nyie mbumbu mtaletewa ayubu na onana mfurahiKatika hizo mechi mbili simba atalipwa sh ngapi na hao caf?
nyie mmetumwa mtujaribie kwanza km hiyo ligi itafaa kisha baadae na sisi tuje,hawawezi kutusumbua sisi tumetoka kucheza fainali juzi tu hapo tumechoka..
Kilichobadika na toleo LA mwanzo n hiyo Simba [emoji739] Alahly bac akuna maajabu
Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
Ndio ni tofauti na CAF CLMsaada mkuu. Hiyo ligi ni tofauti na ile ya siku zote ya club bingwa afrika?
Sielewi, ufafanuzi kidogo.
Asante sana.Ndio ni tofauti na CAF CL
PoaAsante sana.
Sawa Dem girlnyie hata mkipewa b100 zitaishia mdomoni mwa kanjibai tu,nyie mbumbu mtaletewa ayubu na onana mfurahi
Jezi mbaya haina utofauti wowoteKlabu ya Simba leo hii imezindua jezi kwa ajili ya mashindano ya African Football League yanayotarajiwa kuanza 20/10/2023 na mechi ya ufunguzi itakuwa ni Simba SC vs National Al Ahly kwenye dimba la Benjamin Mkapa
Vipi, umeuonaje uzi?
View attachment 2779821
View attachment 2779822View attachment 2779823