Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Tumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu.

Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na hii timu , kila siku tumekufa kiume….. mpira hauhitaji kufa kiume, mpira unahitaji matokeo.

Hapa kwenu Dar mliongoza and in 5 minutes goli likarudi…..what is wrong . Game kama hizi ni lazima uwe na uwezo wa kulinda goli la dhahabu hiyo pia ni strategy or else utaishia hapo hapo kwenye comfort zone yenu

Hii mambo ya tumepambana kiume ni upuuzi

Mlikuwa na option ya kulinda hilo goli hata kwa damu, but akili changa.
 
Ungesema Simba inahitaji kusajili wachezaji wa kuamua matokeo katika mechi ngumu za kimataifa sababu uzoefu upo huenda ungeeleweka.

BABA yako akikupa ugali maharage shukuru sio unaanza kuuliza kwanini hatuli kuku ilihali unajua mzee bajeti haipo sawa kununua kuku.

Simba ni baba hapa East Africa, anafanya vitu ambavyo wengine wameshindwa, inatakiwa itenge fungu la usajili la uhakika la wachezaji wanaoweza amua mechi ngumu za kimataifa. Uwe na shukrani KWA BABA YAKO.
 
Unashindwa vipi kulinda goli kwa kasha na damu na unajua ndo turufu pekee tuliyonayo, senegal Anampiga bingwa mtetezi 2002 na analinda goli mpaka mwisho sisi tunashindwa kitu gani

Kocha huyu haha plan . Kocha anabahatsha tu

Kocha mwenye akili baada ya lile goli alitakiwa kujua nini cha kufanya immediately
 
Unashindwa vipi kulinda goli kwa kasha na damu na unajua ndo turufu pekee tuliyonayo, senegal Anampiga bingwa mtetezi 2002 na analinda goli mpaka mwisho sisi tunashindwa kitu gani
Unfananisha vitu viwili tofauti rejea timu ya senegal ilikuwa na watu gan na simba ima watu gan
 
Hakuna spirit ya upambanaji,hivi hata kumuanzisha Bocco sijui Kocha alikuwa naaana gani[emoji848]

Watabaki kusema inshallah allah hakutaka

Hiyo inshallah ni kwao tu siku zote

Mpunga Kama wote uliowekwa unapata goli kama like dakika ya Sabin kweli mnashindwa kufia uanjani…..
FAaaq off hili timu hakina watu wenye akili
 
Kocha huyu haha plan . Kocha anabahatsha tu

Kocha mwenye akili baada ya lile goli alitakiwa kujua nini cha kufanya immediately
Wakati mwingine ndugu zangu mjifunze kunyamaza tu sio kulaumu siku huyu kocha akipita hatua kubwa mnachange nyie mnaanza kumuona mtu, sawa aondoke aje nani? Toka ausems aondoke simba imehangaika na makocha wangapi mnachukulia vitu kirahisi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…