Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Tumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu.
Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na hii timu , kila siku tumekufa kiume….. mpira hauhitaji kufa kiume, mpira unahitaji matokeo.
Hapa kwenu Dar mliongoza and in 5 minutes goli likarudi…..what is wrong . Game kama hizi ni lazima uwe na uwezo wa kulinda goli la dhahabu hiyo pia ni strategy or else utaishia hapo hapo kwenye comfort zone yenu
Hii mambo ya tumepambana kiume ni upuuzi
Mlikuwa na option ya kulinda hilo goli hata kwa damu, but akili changa.