Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

Kocha huyu haha plan . Kocha anabahatsha tu

Kocha mwenye akili baada ya lile goli alitakiwa kujua nini cha kufanya immediately
Wewe hukuona alichofanya kocha immediately?
Baada ya goli aliamua kupunguza kiungo (akamtoa Chama) ili kuongeza mlinzi (akamuingiza Kennedy). Na hiyo ilikuwa ni best approach kwa wakati ule.
 
Yani mmeanzia robo, na mmetoka.
 
Wewe hukuona alichofanya kocha immediately?
Baada ya goli aliamua kupunguza kiungo (akamtoa Chama) ili kuongeza mlinzi (akamuingiza Kennedy). Na hiyo ilikuwa ni best approach kwa wakati ule.

Then?
 
Unashindwa vipi kulinda goli kwa kasha na damu na unajua ndo turufu pekee tuliyonayo, senegal Anampiga bingwa mtetezi 2002 na analinda goli mpaka mwisho sisi tunashindwa kitu gani
Ni kweli! Simba ilitakiwa ijifunze kwa IHEFU. Jamaa walitengeneza mpaka T Shirt za kutopoteza mchezo wa 50,lakini walililinda goli mpaka mwisho!
 
Umemaliza mkuu...
 
Hata lingelindwa bado wangepita...hebu mtuache...jiandaeni na yenu...muhakikishe mmejishona vzr maana mtaenda kufumuliwa...
 
Kumbe hata mpira wenyewe hujui,eti hata lingelindwa wangepita,wangepitaje wakati ulikuwa ushashinda goli moja na point 4 zidi ya moja in aggregate
Kumbe hata mpira wenyewe hujui,eti hata lingelindwa wangepita,wangepitaje wakati ulikuwa ushashinda goli moja na point 4 zidi ya moja in aggregate
Acha maneno hapo yanangaliwa magoli sio point...
Huu ni mtoano...kumbe na wwwni wale wale tuu.. yule alikua na faida ya magoli 2 so hapo tulitakiwa magoli 3 kwenda juu...
Au 2 ili tuingie kwny matuta...
 
"Eti Simba Baba anafanya vitu wengine wanashindwa" embu niambie hayo mambo makubwa aliyofanya Simba na wengine wakashindwa au haya ya kuishia robo fainali?
Watoto wa kambo na malalamiko, Robo fainali ndo ugali wenyewe unaoupigia kelele, kama baba yako Yanga anaweza kukupa kuku akupe kwanza ndo ulalamikie ugali. Sasa ndo kwanza kakupa mchuzi wa dagaa wa kuchemsha kwa kuingia makundi tangu unazaliwa.
 
D
Acha maneno hapo yanangaliwa magoli sio point...
Huu ni mtoano...kumbe na wwwni wale wale tuu.. yule alikua na faida ya magoli 2 so hapo tulitakiwa magoli 3 kwenda juu...
Au 2 ili tuingie kwny matuta...
Duh!!
 
Yaani mpaka nimeshangaa Bocco kucheza kipindi kizima huku akiwa Hana madhara yoyote kwa adui dah. Vitu vingine tunajitakia wenyewe, kila siku itakuwa robo fainališŸ™Œ

Tatizo la Simba ni Kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…