Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba kwamba ulikuwa halali kwa wakati ule, kwa vile serikali halali iliyochaguliwa na wananchi ilihitaji utulivu ili ilete maendeleo, kwake Simbachawene kuvunja Katiba ndio kuleta maendeleo, huyu ni Waziri, kwamba sasa hivi hawahitaji huo utulivu ili kuleta maendeleo?[emoji817][emoji818]Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa...
Kwamba Upinzani hakuna maovu?Kama huelewi kuwa watu wapo serious dhidi ya maovu, madudu na madhaifu ya ccm basi shule ulienda kusomea ujinga.View attachment 2470382
ni kweli, yaonekana Rais kapata washauri wazuri, tulipokuwa tunakwenda kulikuwa siko kabisa still kuna viongozi waandamizi wa Serikali yetu kama hawa ambao bado wanaamini siasa za 2015 - 2022 zilikuwa sahihi.Viongozi wanafiki na wanaotetea uovu kama huyu Simbachawene hawastahili kuwemo kwenye serikali za kileo, kwani ilikuwa lazima aropoke huo ujinga wake? Ni dhahiri kwamba huyu hajaridhishwa na uamuzi wa Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama chake, NASHAURI AVULIWE UWAZIRI HARAKA.
Hiki kichwa ni chakuliwa haraka sana!
Aibu sana kwa Wazazi wakoKwani kwa sasa kuna maendeleo gani zaidi ya mchwa wa samia kufisidi nchi ...watz tukipata mashine kama jpm hata uchaguzi wa rais hatutaki ni kupoteza pesa bure tunatamani awe rais wa maisha
Labda huko kwenu, huku kwetu watu hawaangalii chama....tena ukitaja CCM ndo hawaelewi, Kwa mara ya kwanza tangu nipate akili diwani wa CCM alishinda kupitia ule uchafuzi wa 2022, ubunge alinyimwa Azan na mipesa yake akashinda wa CUF....Ila Yule nyooko alikuja kuunga mkono juhudi 🤣Tangu lini tukachagua kwa sera? Tunaangalia mtu,chama au pesa.
Katiba haisemi hivyo! Kwanza mantiki ya mikutano ya hadhara sio kupinga maendeleo wala kukosesha utulivu katika umma, Bali ni kuelimisha wananchi juu ya mambo mbalimbali yahusuyo mustakabali mzima wa maisha yao.Mm kama ni amri yangu baada ya uchaguzi vyama vya siasa visifanye mikutano ya hadhara badala yake mikutano ya ndani iwe ruksa na ikifika mwaka mmoja kabla ya uchanguzi wowote ule mdogo na mkubwa iruhusiwe mikutano ya nje pia.
Hakuna kitu kama hicho! Ule uamuzi ulikuwa uamuzi binafs wa JPM na aliutoa siku alipokuwa akipokea ripot ya Tume ya Uchaguzi!Uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara haukua wa Magufuli. Ulikuwa ni wa vikao vya juu vya CC mwishoni wakati JPM anaingia, ilionekana...
Mkuu mbona kama una chuki binafsi na Simbachawene hivi, au kuna mtu anakutumia kumchafua mzee wa watu?. Tambua ya kwamba hata akitumbuliwa hauwezi kuteuliwa wewe kushika huo wadhifa wake.Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa...
Ndio na mimi siku moja nitakuwa waziri lakini sitakuwa waziri mzigo kama yeye.wakati huu wewe ukiwa kijana muosha magari
Kweli mkuuWeee !!
Mpaka kamrithisha mtoto wakena kupigana hovyo pia!
Kwenye serikali kuna collective responsibilitySimbachawene ana uhuru wa kutoa maoni yake, timu gaidi acheni kumshambulia
Fanyeni sio kila wakati wa kupiga domo tu siasa. Mtazalisha Mali sangapi!?Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa...
jamaa hajasoma alama za nyakati.Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa.
Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba kwamba ulikuwa halali kwa wakati ule, kwa vile serikali halali iliyochaguliwa na wananchi ilihitaji utulivu ili ilete maendeleo, kwake Simbachawene kuvunja Katiba ndio kuleta maendeleo, huyu ni Waziri, kwamba sasa hivi hawahitaji huo utulivu ili kuleta maendeleo?
Viongozi wanafiki na wanaotetea uovu kama huyu Simbachawene hawastahili kuwemo kwenye serikali za kileo, kwani ilikuwa lazima aropoke huo ujinga wake? Ni dhahiri kwamba huyu hajaridhishwa na uamuzi wa Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama chake, NASHAURI AVULIWE UWAZIRI HARAKA.
Nakala: Abdulrahman Kinana
View attachment 2469961
Simbachawene ni timu MagufuriWaziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa.
Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba kwamba ulikuwa halali kwa wakati ule, kwa vile serikali halali iliyochaguliwa na wananchi ilihitaji utulivu ili ilete maendeleo, kwake Simbachawene kuvunja Katiba ndio kuleta maendeleo, huyu ni Waziri, kwamba sasa hivi hawahitaji huo utulivu ili kuleta maendeleo?
Viongozi wanafiki na wanaotetea uovu kama huyu Simbachawene hawastahili kuwemo kwenye serikali za kileo, kwani ilikuwa lazima aropoke huo ujinga wake? Ni dhahiri kwamba huyu hajaridhishwa na uamuzi wa Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama chake, NASHAURI AVULIWE UWAZIRI HARAKA.
Nakala: Abdulrahman Kinana
View attachment 2469961