comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Gaidi ni Mbowe, mbona hilo halina mashaka- alipatikana na kesi ya kujibu na hajajibubwana etwege ulisoma chuo gani ulikofundishwa ujinga... gaidi ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaidi ni Mbowe, mbona hilo halina mashaka- alipatikana na kesi ya kujibu na hajajibubwana etwege ulisoma chuo gani ulikofundishwa ujinga... gaidi ni nani?
Kwa kelele hizi utadhani irrelevance ya vyama vya siasa vya upinzani ilisababishwa na zuio la Magufuli. Magufuli alichofanya kwa muda mfupi ni kutuonyesha rangi halisi za wanasiasa. Wawe wa upinzani, wawe wa CCM...
Huyu Ni miongoni mwa watakaotemwa siku sio nyingi.Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa...
Na Kura itawatema wengi. 2025 Ila kwako hilo halitakugusa, kwani una uwezo wa kubadilika...na Bakuli lelote.Huyu Ni miongoni mwa watakaotemwa siku sio nyingi.
Yuko sahihi wala hajakosea kitu. Mama anajipendekeza bure kwa wapinzani hasa chadema. Inabidi ccm kujitahadharisha kwani mama anapoipeleka ni kupoteza kuaminiwa na umma na kutwaliwa dola na waliberali wanaotaka uhuru bila mipaka na ni watetezi wa ushoga.Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa...
Mnachekelea mnafikiri wananchi watakubali nchi hii iongozwe na wamangi?Akipona akatambike.
Hopeless.Yuko sahihi wala hajakosea kitu. Mama anajipendekeza bure kwa wapinzani hasa chadema. Inabidi ccm kujitahadharisha kwani mama anapoipeleka ni kupoteza kuaminiwa na umma na kutwaliwa dola na waliberali wanaotaka uhuru bila mipaka na ni watetezi wa ushoga.
Ccm ni chama cha ukombozi chenye lengo kuu kuwakomboa raia wa tanzania kiuchumi. Hakihitaji sera za porojo na malumbano ya kugawa watu huku yakiwafaidisha tabaka moja kuhodhi uchumi wa nchi.
Una umri gani ?Siyo sababu za hz mikutano Haina tija Ni vyema ufanyike mikutano ya ndani tu wa nje uwe mwishoni karibia uchaguzi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama huelewi kuwa watu wapo serious dhidi ya maovu, madudu na madhaifu ya ccm basi shule ulienda kusomea ujinga.Kwa kelele hizi utadhani irrelevance ya vyama vya siasa vya upinzani ilisababishwa na zuio la Magufuli. Magufuli alichofanya kwa muda mfupi ni kutuonyesha rangi halisi za wanasiasa. Wawe wa upinzani, wawe wa CCM.
Mtu ka Lissu hivi hata baada ya kuruhusu mikutano ya hadhara ni kitu gani atasema ili watu tumchukulie serious?
Sijamuelewa huyo waziri ana maanisha zuio lilikuwa applicable kwa wakati ule au anatamani lingeendelea!!!Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba kwamba ulikuwa halali kwa wakati ule, kwa vile serikali halali iliyochaguliwa na wananchi ilihitaji utulivu ili ilete maendeleo,
Mpaka mtu afe ndipo unaonekana umuhim wake, akiondoka Mbowe mtaanza kumsifia.Ila Tanzania hakuna upinzani kidogo marehemu Mtikila alijitahidi kwenda mahakamani kudai haki. Vyama vyote vilikaa bila kuchukua hatua yoyote walipozuia mikutano wakati CCM walikuwa wanafanya kila siku
Na kama wanabisha wanavyolilia katiba mpya wailete iwe na kipengerele cha kuruhusu mgombea binafsi watauona moto wa watanzaniaKwa kelele hizi utadhani irrelevance ya vyama vya siasa vya upinzani ilisababishwa na zuio la Magufuli. Magufuli alichofanya kwa muda mfupi ni kutuonyesha rangi halisi za wanasiasa. Wawe wa upinzani, wawe wa CCM.
Mtu ka Lissu hivi hata baada ya kuruhusu mikutano ya hadhara ni kitu gani atasema ili watu tumchukulie serious?
Katika maridhiano ya ruzuku auMpaka mtu afe ndipo unaonekana umuhim wake, akiondoka Mbowe mtaanza kumsifia.
Kwani kwa sasa kuna maendeleo gani zaidi ya mchwa wa samia kufisidi nchi ...watz tukipata mashine kama jpm hata uchaguzi wa rais hatutaki ni kupoteza pesa bure tunatamani awe rais wa maishaWaziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa...
Day dreaming.Mnachekelea mnafikiri wananchi watakubali nchi hii iongozwe na wamangi?