Simbachawene atetea uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara. Avuliwe Uwaziri!

Madudu yapo tena mengi tu. Lakini upinzani ulichotuonyesha katika miaka ile mitano ya Magufuli ilikuwa wazi kwamba hawajali cha madudu ya nchi wala nini. Wao interest yao ilikuwa ni moja nayo ni wao wenyewe.

Kuna kiongozi yeyote aliyedeal na madudu, at the highest level, tena at the risk of his own life zaidi ya Magufuli? Mlimfanyaje zaidi ya kuzidi kumng'ong'a kwamba hafai.
Unamjua Tundu Lissu? Alikuwa CCM? Kwa nini alishambuliwa?
 
Sura yake siku ya tukio ilionyesha wazi HOFU ya kupoteza mkate chake.
244306655_113719401064550_8214192942904120372_n.jpg
 
Chadema inawatu wa hovyo sana, unamkoti kinana iliafanyaje,unadhani anawapenda kiasi hicho!!.

Mtu haja pinga kauli ya rais wewe unamuweke maneno mdomoni eti anamaana hii.

Asali imewalevya otherwise unge mquote DJ.
 
Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa.

Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba kwamba ulikuwa halali kwa wakati ule, kwa vile serikali halali iliyochaguliwa na wananchi ilihitaji utulivu ili ilete maendeleo, kwake Simbachawene kuvunja Katiba ndio kuleta maendeleo, huyu ni Waziri, kwamba sasa hivi hawahitaji huo utulivu ili kuleta maendeleo?

Viongozi wanafiki na wanaotetea uovu kama huyu Simbachawene hawastahili kuwemo kwenye serikali za kileo, kwani ilikuwa lazima aropoke huo ujinga wake? Ni dhahiri kwamba huyu hajaridhishwa na uamuzi wa Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama chake, NASHAURI AVULIWE UWAZIRI HARAKA.

Nakala: Abdulrahman Kinana
Simbachawene ni Rais wako awamu ya saba, kuwa makini boss😁
 
Chadema inawatu wa hovyo sana, unamkoti kinana iliafanyaje,unadhani anawapenda kiasi hicho!!.

Mtu haja pinga kauli ya rais wewe unamuweke maneno mdomoni eti anamaana hii.

Asali imewalevya otherwise unge mquote DJ.
Mkuu wanachama wa CHADEMA ni KUPE hutegemea mali za Mbowe na misaada kutoka vyama vinavyo unga ushoga ili waishi. wanamaelekezo ya kupinga kila kitu kupitia mitandao ya kijamii. . wamekwamisha tozo, hawataki bwawa na umeme maji; hawataki reli ya kisasa; hawataki ndege,;hawataki tukope ili tumalize miradi ya kimkakati kwa haraka na kwa wakati; na walisusuia mchakato wa katiba mpya, wanasususa susa tu. Kupe ni hatari na moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo.
 
Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa.

Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba kwamba ulikuwa halali kwa wakati ule, kwa vile serikali halali iliyochaguliwa na wananchi ilihitaji utulivu ili ilete maendeleo, kwake Simbachawene kuvunja Katiba ndio kuleta maendeleo, huyu ni Waziri, kwamba sasa hivi hawahitaji huo utulivu ili kuleta maendeleo?

Viongozi wanafiki na wanaotetea uovu kama huyu Simbachawene hawastahili kuwemo kwenye serikali za kileo, kwani ilikuwa lazima aropoke huo ujinga wake? Ni dhahiri kwamba huyu hajaridhishwa na uamuzi wa Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama chake, NASHAURI AVULIWE UWAZIRI HARAKA.

Nakala: Abdulrahman Kinana
"Kwa wakati ule!" Siyo sasa.. Pia, ndiyo maana hata sasa ktk kujenga nchi vyama vimekubali kufanya siasa za kistaarabu. #Kwa sasa twende mbele kutekeleza maelekezo ya mkuu wetu wa nchi, Mhe. Rais Dk. Samia.🙏🙏🙏
 
Hiyo ni police state mkuu, middle class wa kitanzania mpaka leo yupo tayari kuishi kidikiteta, mkuu unaonaje ukipata uhuru wa kupush back vitu anavyoona ni haki yako?,mkuu unaonaje ikiwa ni police tu wenye power to arrest?,mkuu unaonaje ukipata uhuru wa kuishitaki serikali kama imekukosea?,mkuu unaonaje tukiwa ni mikoa 15 tu na wilaya 75 tu ,na service delivers kwa wananchi ni nzuri?,
Na wabunge wangapi?mikoa 15 inakuwa na sifa gani?
 
Mm kama ni amri yangu baada ya uchaguzi vyama vya siasa visifanye mikutano ya hadhara badala yake mikutano ya ndani iwe ruksa na ikifika mwaka mmoja kabla ya uchanguzi wowote ule mdogo na mkubwa iruhusiwe mikutano ya nje pia.
Kwa nini?
 
Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa.

Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba kwamba ulikuwa halali kwa wakati ule, kwa vile serikali halali iliyochaguliwa na wananchi ilihitaji utulivu ili ilete maendeleo, kwake Simbachawene kuvunja Katiba ndio kuleta maendeleo, huyu ni Waziri, kwamba sasa hivi hawahitaji huo utulivu ili kuleta maendeleo?

Viongozi wanafiki na wanaotetea uovu kama huyu Simbachawene hawastahili kuwemo kwenye serikali za kileo, kwani ilikuwa lazima aropoke huo ujinga wake? Ni dhahiri kwamba huyu hajaridhishwa na uamuzi wa Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama chake, NASHAURI AVULIWE UWAZIRI HARAKA.

Nakala: Abdulrahman Kinana
Kwani katiba ni msaafu? Hii katiba si kila siku mnasema haifai, sasa mbona ikigusa maslahi yenu mnaponufaika mnaanza kuigusia?
 
Ni wengi walioumia, sasa ule ubunge wa mbeleko kwishnei, tutachagua kulingana na Sera.
Pia ruhusa ya mikutano itatufanya tuwaone wabunge wetu huku mikoani, upinzani ukiliamsha dude, wabunge lazima watapita pita majimboni.
Asante Samia.
Tangu lini tukachagua kwa sera? Tunaangalia mtu,chama au pesa.
 
Mkuu wanachama wa CHADEMA ni KUPE hutegemea mali za Mbowe na misaada kutoka vyama vinavyo unga ushoga ili waishi. wanamaelekezo ya kupinga kila kitu kupitia mitandao ya kijamii. . wamekwamisha tozo, hawataki bwawa na umeme maji; hawataki reli ya kisasa; hawataki ndege,;hawataki tukope ili tumalize miradi ya kimkakati kwa haraka na kwa wakati; na walisusuia mchakato wa katiba mpya, wanasususa susa tu. Kupe ni hatari na moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo.
Uongo utakusaidia nini Aisee ?
 
Back
Top Bottom