cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Hii nchi haiishi viroja. Yaani sijui hata tumerogwa na nani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Hii nchi haiishi viroja. Yaani sijui hata tumerogwa na nani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu asikufananishe na Mgogo. Yaani majibu yake, hayatofautiani na majibu ya Ndugai. Hawa jamaa walizowea kukaa barbarani kuomba. Sio kupewa nafasi za utawala.
Mtu kama huyu aliwezaje kupata ubunge na baadae uwaziri?WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameeleza kuwa kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA), hakuhalalishi mtu kuwa ni Raia wa Tanzania.
Pia soma > Mbunge :Wasiojua vema mashairi ya wimbo wa Taifa na Kiswahili wanaambiwa siyo raia wa Tanzania
Simbachawene ameeleza hayo leo Mei 4, Bungeni jijini Dodoma ambapo amesema kuwa Uraia wa Tanzania una Sheria yake ya Uraia na una mchakato wake hivyo kitambulisho hicho ni kwa ajili ya kuwatambua tu hutolewa hata kwa Wakimbizi na hata kwa Wahamiaji wakazi.
“Kwa sasa tunadhani pengine tukipata Vitambulisho vya Taifa ndio tumepata Uraia wa Tanzania, Uraia wa Tanzania una Sheria yake ya Uraia na una mchakato wake, kitambulisho hiki ni kuwatambua tu na vitambulisho hivi vinatolewa hata kwa Wakimbizi, vinatolewa hata kwa Wahamiaji wakazi,” amesema Simbachawene.
Simbachawene amesema mtu kupata kitambulisho hicho sio mwarobaini wa kutokuulizwa na iwapo itagundulika kuwa mtu sio raia basi atanyang’anywa kitambulisho hicho.
“Ukipata kitambulisho hiki sio mwarobaini kwamba wewe umeshamaliza sasa hutaulizwa hapana, utaulizwa na utanyang’anywa hicho kitambulisho kama tukigundua wewe sio Raia wa Tanzania” amesema Simbachawene.
Kumbe Kabudi ni mgogo?Wagogo nadhani kuna shida kubwa sn, ukianza na Ndugai, Simbachawene + Kabudi yaani hakuna mwenye nafuu hata kidogo
Kwa maneno ya waziri maana yake suala la uraia wa mtu ni open ended question, hata uwe na aina gani ya ID muda wowote tunaweza kurudi tena kwenye swala la uraia.Kwa hiyo nini kinamtambulisha mtu kuwa ni raia?
Yap, wagogo na wanyiramba kuna shida kubwa snKumbe Kabudi ni mgogo?
Kwa nchi za wenzetu Simbachawene angepaswa kujiuzulu leo leo. Huo ni UPUMBAVU wa hali ya juu kwa kuwa Tanzania kabla ya vitambulisho vya NIDA ni sawa na Watanzania BAADA ya vitambulisho vya NIDA.Simbachawene anataka kusema nini in a nutshell?
Kwamba hizi "CITIZEN IDENTIFICATION CARDs" sasa zinatolewa mpaka kwa wahamiaji haramu kwa sababu Wizara yake imejaa watu wazembe, wasiojari na wala rushwa wakubwa kiasi cha kutoa vitambulisho kihohela?
Hayo ndiyo matatizo ya CCM.Mtu kama huyu aliwezaje kupata ubunge na baadae uwaziri?
Halafu ye mwenyewe anafanana na wanyarwandaWAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameeleza kuwa kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA), hakuhalalishi mtu kuwa ni Raia wa Tanzania.
Pia soma > Mbunge :Wasiojua vema mashairi ya wimbo wa Taifa na Kiswahili wanaambiwa siyo raia wa Tanzania
Simbachawene ameeleza hayo leo Mei 4, Bungeni jijini Dodoma ambapo amesema kuwa Uraia wa Tanzania una Sheria yake ya Uraia na una mchakato wake hivyo kitambulisho hicho ni kwa ajili ya kuwatambua tu hutolewa hata kwa Wakimbizi na hata kwa Wahamiaji wakazi.
“Kwa sasa tunadhani pengine tukipata Vitambulisho vya Taifa ndio tumepata Uraia wa Tanzania, Uraia wa Tanzania una Sheria yake ya Uraia na una mchakato wake, kitambulisho hiki ni kuwatambua tu na vitambulisho hivi vinatolewa hata kwa Wakimbizi, vinatolewa hata kwa Wahamiaji wakazi,” amesema Simbachawene.
Simbachawene amesema mtu kupata kitambulisho hicho sio mwarobaini wa kutokuulizwa na iwapo itagundulika kuwa mtu sio raia basi atanyang’anywa kitambulisho hicho.
“Ukipata kitambulisho hiki sio mwarobaini kwamba wewe umeshamaliza sasa hutaulizwa hapana, utaulizwa na utanyang’anywa hicho kitambulisho kama tukigundua wewe sio Raia wa Tanzania” amesema Simbachawene.
Yeye ndiye mwenye mamlaka na ofisi inayo ratibu hivyo vitambulishoSimba Chawene anajua maana ya national identity card?
Hivi Kabudi kumbe ni mgogo?Wagogo nadhani kuna shida kubwa sn, ukianza na Ndugai, Simbachawene + Kabudi yaani hakuna mwenye nafuu hata kidogo
Usikute mradi wenyewe ulikuwa ni dili la kupigia noti tuHii nchi inachekesha, kwahiyo kwanza unapewa utambulisho wa uraia halafu ndio uhojiwe uraia wako.
Ni sawa na kumpa mgonjwa panadol halafu ndio umpime kama kichwa kinamuuma. Tanzania tuna safari ndefu sana.
Wacha kumlisha waziri matango pori yako hapa.Waziri anamaanisha kuna wazamiaji ambao wanaweza kuwahonga wafanyakazi wa NIDA ambao sio waaminifu na kuwapa hivyo vitambulisho! Kwa hiyo ikigundulika Kama ulifanya udanganyifu utanyanganywa kitambulisho na hataua za kisheria dhidi yako zitachukuliwa pamoja na hao waliokupa hicho kitambulisho nao watawajibika!!
No ndiyo maana yupo kama NdugaiHivi Kabudi kumbe ni mgogo?
Nilidhani ni Mkaguru
Labda jembe lakoWala rushwa na Wazembe wapo kila sector! Na ndiyo wamesababisha Jembe letu kuondoka mapema kwa ukaidi wao!!
Simba chawene hajitambuiNational Identity Card si ndio NIDA
National ni Taifa
Kwa hivi NIDA ni kitambulisho cha Utaifa
Utaifa ni Uraia au
Nationality ni Utaifa
Citizenship ni Uraia
*** NIDA ilianzishwa kwa lengo gani tuanzie hapa
***Kuna Resident Permit ni Mkaaji ( wakimbizi wageni wahamiaji etc)
Wizara mnajichanganya wenyewe
Huwezi kuwa mkimbizi ukapewa NIDA
Mtoto aliyezaliwa ukimbizini anaweza kuwa NIDA (kama sheria za nchi zinatambua hili kuzaliwa ukimbizini sio lazima uwe na utaifa wa nchi husika)
Kwani uchaguzi uliopita kuna mbunge aliyeshinda kwa matakwa ya wapiga kura?Mtu kama huyu aliwezaje kupata ubunge na baadae uwaziri?
Kitambulisho cha uraiaKwa hiyo nini kinamtambulisha mtu kuwa ni raia?