Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
mbona wewe unaakili kubwa ya kuchambua kuliko waziri mwenyedhamana? Ameshindwaje sema hivi km kweli ni hivi of which maelezo yako makes total sense of it according to me.Waziri anamaanisha kuna wazamiaji ambao wanaweza kuwahonga wafanyakazi wa NIDA ambao sio waaminifu na kuwapa hivyo vitambulisho! Kwa hiyo ikigundulika Kama ulifanya udanganyifu utanyanganywa kitambulisho na hataua za kisheria dhidi yako zitachukuliwa pamoja na hao waliokupa hicho kitambulisho nao watawajibika!!
Anyways waweza sema msomi Yule kumbe ni Sawa n'a std7 maana huko chuo labda alikua mla chabo na vibuti mpaka anamaliza degree.