Z Zinn JF-Expert Member Joined Dec 29, 2022 Posts 2,075 Reaction score 2,503 Nov 14, 2023 #81 Gentlemen_ said: Hizi ajira shida yake ni moja katika hizo Ajira 47K unakuta mgawanyo upo hivi. 30k ni waalimu. 10k Magereza, Polisi na JWTZ kdg 3k Afya 4k Mchanganyiko.. Hapo kwenye Mchanganyiko hapo ndio kwenye shida.... Click to expand... Shida gani? Na hizo ajira kwa kukadiria zitatangazwa lini
Gentlemen_ said: Hizi ajira shida yake ni moja katika hizo Ajira 47K unakuta mgawanyo upo hivi. 30k ni waalimu. 10k Magereza, Polisi na JWTZ kdg 3k Afya 4k Mchanganyiko.. Hapo kwenye Mchanganyiko hapo ndio kwenye shida.... Click to expand... Shida gani? Na hizo ajira kwa kukadiria zitatangazwa lini
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Nov 14, 2023 #82 Hii itakua mwakani.