Shida gani? Na hizo ajira kwa kukadiria zitatangazwa liniHizi ajira shida yake ni moja katika hizo Ajira 47K unakuta mgawanyo upo hivi.
30k ni waalimu.
10k Magereza, Polisi na JWTZ kdg
3k Afya
4k Mchanganyiko..
Hapo kwenye Mchanganyiko hapo ndio kwenye shida....