Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

Hizi ajira shida yake ni moja katika hizo Ajira 47K unakuta mgawanyo upo hivi.

30k ni waalimu.
10k Magereza, Polisi na JWTZ kdg
3k Afya
4k Mchanganyiko..

Hapo kwenye Mchanganyiko hapo ndio kwenye shida....
Shida gani? Na hizo ajira kwa kukadiria zitatangazwa lini
 
Back
Top Bottom