ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Endelea kulalamika zitakuguata au Lisu atakupa.sawaFursa?? Mm ninavyopenda hii nch ningepata hizo fursa ningeipambania mpaka mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kulalamika zitakuguata au Lisu atakupa.sawaFursa?? Mm ninavyopenda hii nch ningepata hizo fursa ningeipambania mpaka mwisho
Kazi za Tamisemi hazina hizo kujuana, tuwe wakweli bana,Wanapeana kazi kwa kujuana skuizi ni toa pesa upate kazi
Kuna wahitimu wengi sana wanataabika mtaani. Halafu kila siku wanajisifia kuajiri.Wanapeana kazi kwa kujuana skuizi ni toa pesa upate kazi
Watu walisugua mawe mawili tangu 2015 hawana ajira,mama akawabarikiKupata kazi sio haki mkuu, kusoma ndio haki,
Sahihi kabisa niletee kipimo fasta
Usibishane na wapuuzi na haters,hakuna kazi zakujuana ndio maana Mimi wakisema Kuna kujuana nawajibu hivyo hivyo kwani wao wamekatazwa kujuana na wanaotoa kazi?Kazi za Tamisemi hazina hizo kujuana, tuwe wakweli bana,
Nimeshainama pimaInama nikupime sasa
Nimeshainama pima
Aliyeharibu mfumo anajulikana mkuu,Kuna wahitimu wengi sana wanataabika mtaani. Halafu kila siku wanajisifia kuajiri.
Hawana akiliKuna wahitimu wengi sana wanataabika mtaani. Halafu kila siku wanajisifia kuajiri.
Bandari kwanza mengine baadaeHarafu unakutana na machadomo, Sukuma gang na wapuuzi wengine wanaongea ujinga wao eti mama hajafanya kitu,wasome hizo namba kwanza kabla ya kuropoka.
Bandari imefanyajeBandari kwanza mengine baadae
Nasikia vyoteUnaskia raha au unaumia
Polee sanaNasikia vyote
AsantePolee sana
Endelea kupiga umbea JF badala ya kuomba kazi uajiriwe serikalini.Wanapeana kazi kwa kujuana skuizi ni toa pesa upate kazi