Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

Kazi za Tamisemi hazina hizo kujuana, tuwe wakweli bana,
Usibishane na wapuuzi na haters,hakuna kazi zakujuana ndio maana Mimi wakisema Kuna kujuana nawajibu hivyo hivyo kwani wao wamekatazwa kujuana na wanaotoa kazi?
 
Hizi ajira shida yake ni moja katika hizo Ajira 47K unakuta mgawanyo upo hivi.

30k ni waalimu.
10k Magereza, Polisi na JWTZ kdg
3k Afya
4k Mchanganyiko..

Hapo kwenye Mchanganyiko hapo ndio kwenye shida....
 
Back
Top Bottom