Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

Wewe chawa mbobevu kupata kazi ni haki ya vijana wote waliosoma sio suala la upendo mtu flani kutoa kazi. Sasa vijana
Haki ilikua wapi awamu iliyopita ?unajua vijana walivosota wewe mtaani Kabla ya mama kuja kupunguza Foleni iliyokuwepo au unajisikia kuropoka tu !
 
Mbona kuna ndugu zangu hawapati
Inatokea kwasababu wenye sifa ni wengi, lakini wakiendelea kuomba watapata, kiutaratibu sio rahisi kuajiri wahitimu wote kwa Pamoja, wanachukuliwa kwa awamu, na hii ilisababishwa na awamu iliyopita kutokutoa Kipaumbele kwenye ajira ndomaana foleni imekua kubwa. Enzi za Mh. Kikwete Kada Kama madaktari, walimu, wauguzi na n.k walikua wakimaliza tu chuo wanapangiwa post moja kwa moja, sekta binafsi Nazo zilikua zina ajiri sana, foleni ya wahitimu mtaani iliongezeka awamu iliyopita, lakini Mama Samia anapunguza foleni kwa kasi sanaa.
 
Back
Top Bottom