Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Safi sana mama samia hamna haja ya kuongea nao wenye macho tunaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina kazi ambayo naweza kukulipa kila siku uje kudeki choo nyumbani kwangu nakupa kila siku elfu 70Endelea kupiga umbea JF badala ya kuomba kazi uajiriwe serikalini.
Sasa kama una kazi waache wenzio waombe sio kuwakatisha tamaa.Nina kazi ambayo naweza kukulipa kila siku uje kudeki choo nyumbani kwangu nakupa kila siku elfu 70
Unauhakika wakiomba izo kazi watapata kakaSasa kama una kazi waache wenzio waombe sio kuwakatisha tamaa.
Wewe unaishi wapi? Kila siku watu wanaingia kwenye ajira rasmi serikalini tembelea website ya secretariat ya ajira utapata data utaona walioajiriwa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.Unauhakika wakiomba izo kazi watapata kaka
Labda sio bongo hiiWewe unaishi wapi? Kila siku watu wanaingia kwenye ajira rasmi serikalini tembelea website ya secretariat ya ajira utapata data utaona walioajiriwa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
🤣🤣🤣🤣🤣Sawa Lakini ndio hivyo inazidi kufungua fursa Hadi Kwa nyie wasengerema
Hili ndio tatizo lenu watanzania uvivu mpaka kwenye kutafuta habari ingia www.ajira.go.tzLabda sio bongo hii
Haki ilikua wapi awamu iliyopita ?unajua vijana walivosota wewe mtaani Kabla ya mama kuja kupunguza Foleni iliyokuwepo au unajisikia kuropoka tu !Wewe chawa mbobevu kupata kazi ni haki ya vijana wote waliosoma sio suala la upendo mtu flani kutoa kazi. Sasa vijana
Wanasema tu hawa, Watoto wa maskini wengi tu wanatoboaKazi za Tamisemi hazina hizo kujuana, tuwe wakweli bana,
Katika suala la Kuajili Mama Samia kafanya kazi kubwa sana na anaendelea kufanya kazi, mwaka huu peke ake idara ya Afya ameajiri Mara mbili, hii inaenda kuwa ya tatu, awamu iliyopita mpaka ajira zitoke ilikua issue mnoo.Safi sana mama samia hamna haja ya kuongea nao wenye macho tunaona.
Kama mtu anasifa kazi anapata vizuri tu, na wengi wamepata vizuri tuuUnauhakika wakiomba izo kazi watapata kaka
Mbona kuna ndugu zangu hawapatiKama mtu anasifa kazi anapata vizuri tu, na wengi wamepata vizuri tuu
We zombie?Huna akili hii serikal ni ya kixxnge
Wamesomea fani gani? Sio kila aliesoma anapata kazi au ajira serekalini na sasa hivi kuna watu wamelengwa kupata kazi soko linawahitaji kwa nguvu zote Ila kuna watu wengine soko haliwahitaji basi wanaendelea kusota mtaani tuMbona kuna ndugu zangu hawapati
Inatokea kwasababu wenye sifa ni wengi, lakini wakiendelea kuomba watapata, kiutaratibu sio rahisi kuajiri wahitimu wote kwa Pamoja, wanachukuliwa kwa awamu, na hii ilisababishwa na awamu iliyopita kutokutoa Kipaumbele kwenye ajira ndomaana foleni imekua kubwa. Enzi za Mh. Kikwete Kada Kama madaktari, walimu, wauguzi na n.k walikua wakimaliza tu chuo wanapangiwa post moja kwa moja, sekta binafsi Nazo zilikua zina ajiri sana, foleni ya wahitimu mtaani iliongezeka awamu iliyopita, lakini Mama Samia anapunguza foleni kwa kasi sanaa.Mbona kuna ndugu zangu hawapati