Wanachafuana tu. Hata hivyo Simbachewene siyo mtu mwenye tamaa ya madaraka kihivyo kama akina JanuariKwani vipi Samia hatakiwi tena huko Mbogamboga? Simbachawene mwanangu sana lakini kwa Urais hatoshi.
Inasemekana afya mgogoro
Azma.*hazma ya Gwajboy
Ukute mwandishi ni yule yuleHii kitu niliisikia kwa jamaa mmoja mwezi uliopita kuhusu hazma ya Gwajboy na Urais, ila sikuweza kupinga wala kukubali.
Leo nimeikuta hapa tena?
Wataanza kurogana sasaWanachafuana tu. Hata hivyo Simbachewene siyo mtu mwenye tamaa ya madaraka kihivyo kama akina Januari
Kipindi hicho alikua hajaonja vizuri ladha ya uraisi, sasa hivi humtoi mtu pale.Inasemekana afya mgogoro
George ni mtu poa sana ila kwa Urais naona bado labda Uwaziri Mkuu.Wanachafuana tu. Hata hivyo Simbachewene siyo mtu mwenye tamaa ya madaraka kihivyo kama akina Januari
Pascal Mayallanani anatosha
CHAUMMALabda kwa chama kingine
Gwajima atapiga marufuku adhanaHii kitu niliisikia kwa jamaa mmoja mwezi uliopita kuhusu hazma ya Gwajboy na Urais, ila sikuweza kupinga wala kukubali.
Leo nimeikuta hapa tena?
Wakaufinye ubwabwaCHAUMMA
YapWakaufinye ubwabwa
Yule anaitwa Ustaadh Rashid kwenye Ukristo anapiga hela tuGwajima atapiga marufuku adhana
Jamaa mwenyewe uliyemsikia ndo huyu unayemsikia tena hapa kupitia huu Uzi wake.Hii kitu niliisikia kwa jamaa mmoja mwezi uliopita kuhusu hazma ya Gwajboy na Urais, ila sikuweza kupinga wala kukubali.
Leo nimeikuta hapa tena?
Mkiristo hata awe professor lkn ataliwa pesa tu na mchungaji std 7. Kanisani huwezi kwenda kufanya ibada kama huna hela mfukoni, ukiondoka umwachie bwana afuter dhambi.Yule anaitwa Ustaadh Rashid kwenye Ukristo anapiga hela tu
Mkristo wa kweli haliwi pesa,wale wakristo wa majina tu ndiyo wanapungwa hela na hawa matapeli mitume na manabii wa mchongo.Mkiristo hata awe professor lkn ataliwa pesa tu na mchungaji std 7. Kanisani huwezi kwenda kufanya ibada kama huna hela mfukoni, ukiondoka umwachie bwana afuter dhambi.
Uislam hakuna hayo
Dotto magari akiwa Rais itapendeza maaana atauza mpaka ikuluKweli mkuu kama yule mvuta bangi wa Chato aliweza kuwa Rais hadi kifo chake hata Dotto Magari anaweza kuwa Rais