Tetesi: Simbachawene na Gwajima watajwa mbio za Urais 2025

Chama gan
 
kwani CCM si washampitisha mmoja?
 
Sasa huu urahisi. Hata gwajima!!!!!
 
 
Watagombea kwa chama gani, CCM walishamaliza na kufunga.
 
Gwajima??
 
Huoni wako busy kujisemesha ,Gwajima is real Yuko serious maana anajua baada ya hapo ni Mkristo.
 
Hao wote ni makatali Watumishi mjiandae kisaikolojia na wanyonge mtaishia kuwa mafukara mara 2.

Kati ya Wagalatia,Mkapa pekee ndio alikuwa na nafuu.
 
Huyu Simabachawene mnayehangaika kumtaja ugombeaji urais ni huyu wautawala bora aiyepigwa biti na Magu mwaka 2016 kuhusu uozo wa watumishi hewa akakimbilie kwenye vyombo vya habari kujiuzulu?

Sioni uwezo wowote na ushawishi kwa wananchi na hivyo hafai kwa chochote na hapo alipo huenda anatembea na nyota ya wazazi wake waliowahi kuwa watumishi wandamizi wa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…