Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

Sisi tunaoswali chini ya mti na kuongozwa na babi yetu,inabidi babu akachukue degree kwanza?
 
Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.

Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.

Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.

Source Clouds tv!
Support. Wanakera. Kila kona ya mji maturubali yametanda eti ni makanisa. Unakuta imewekwa mike na muziki mkubwa, ukiangalia waliomo watano tu. Sasa mike na muziki mkubwa huo wa nn kama si utapeli tu!!!! Fungeni kabisa wafanya biashara hao.
 
umaskini mbaya sana marekani Mpiga ngumi Evander HOLLFIELD alitoa sadaka fungu la kumi dollar milioni 20 sawa na shilingi za tanzania bilioni 40 za Tanzaniia wewe vishilingi vyako vya sadaka elfu kumi tu kelele utafikiri unaumwa kipindupindu

uliza makanisa yote wapiga kelele wote kuwa viongozi wa dini wanakula sadaka sio watoaji iwe katoliki,angilikana.lutheran au kokote .WATOAJI HAWAPIGI KELELE
Wewe TAPELI KWELI ndio maana umepanic.

Na wewe ni Nabii?

Hahaha...!

Hata kama ni 1000/= hatutoi kwa matapeli na wahuni kama ninyi.

Tafuteni pesa kwa njia zingine za jasho kijana Mwanaume, sio kwa kudanganya na kutapeli watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabasi yakipata ajali unaregulate mwendo
Sote ni mashahidi jinsi speed 80 ilivyosaidia ktk kuondoa ajali nchini
Nawapongeza wahusika kwa hilo...sana tu

vile vile ktk hili Mwamposa achukuliwe hatua na hii sekta ya dini iwe 'regulated' pia..ndo mana ya serikali kuwepo
Mkuu sector ya dini inahusikaje na usalama wa mkutano? Mikutano ya kisiasa husimamowa na polisi, sio jukumu la red brigade wala green guard. Vivyo hivyo mikutano ya kidini ni MIKUTANO kama mingine.

Tukio lingetokea kanisani hapo sawa. Kwa mwenye ufahamu atapaswa kujiuliza polosi wanaowashusha wanasiasa wanaozidisha muda majukwaani na kuwazimia vipaza sauti walikiwa wapi?

Dereva wa basi akozidisha mwendo trafic anamsimamisha njiani, wala haifungii kampuni. Lakini ilipofikia magari yanapata sana ajali waziri alitakiwa kujiuzuru, hata wakuu wa polisi wa usalama barabarani waliwajibika. Sio kuhamisha goli, kuanza kushambulia aina za mabasi, kwamba scania zizuilowe na wote waagize isuzu, ni ujuha.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hata Katoliki na Lutheran shule tupu imejaa pale

uongo mbaya elimu inakuja na ustaarabu

na vitu vya kijamii kama makanisa nadhani ni sahihi zaidi yakiwa 'Taasisi'
Kuna kua na dhana ya 'udhibiti' wa nani anafanya nini na namna ya kumudu mkusanyiko huo wa watu
Ilimu dunia. We need God

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mkuu sector ya dini inahusikaje na usalama wa mkutano? Mikutano ya kisiasa husimamowa na polisi, sio jukumu la red brigade wala green guard. Vivyo hivyo mikutano ya kidini ni MIKUTANO kama mingine.

Tukio lingetokea kanisani hapo sawa. Kwa mwenye ufahamu atapaswa kujiuliza polosi wanaowashusha wanasiasa wanaozidisha muda majukwaani na kuwazimia vipaza sauti walikiwa wapi?

Dereva wa basi akozidisha mwendo trafic anamsimamisha njiani, wala haifungii kampuni. Lakini ilipofikia magari yanapata sana ajali waziri alitakiwa kujiuzuru, hata wakuu wa polisi wa usalama barabarani waliwajibika. Sio kuhamisha goli, kuanza kushambulia aina za mabasi, kwamba scania zizuilowe na wote waagize isuzu, ni ujuha.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kama waziri anajiuzulu kwa ajali za mabasi ilhali hajui hata chombo kiko wapi muda wa tukio iweje Mwamposa asichukuliwe hatua kwa tatizo alilotengeneza moja kwa moja...ameandaa mazingira ya utelezi afu akatoa amri wafuasi waende

nadhani tuko upande mmoja
Sijasema dini ama mikutano izuiwe bali iwe 'regulated/controlled/monitored/idhibitiwe
Na namna mojawapo ya kucontrol ni kuja na vigezo flani flani

naamini wahusika wana busara zao za kuamua wafanyeje kuhakikisha usalama wa raia
 
Wewe TAPELI KWELI ndio maana umepanic.

Na wewe ni Nabii?

Hahaha...!

Hata kama ni 1000/= hatutoi kwa matapeli na wahuni kama ninyi.

Tafuteni pesa kwa njia zingine za jasho kijana Mwanaume, sio kwa kudanganya na kutapeli watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe sio mtoaji hata huko uliko kelele tu huna lolote lofa tu wewe.WATOAJI WANAJULIKANA WENYE KELELE KAMA WEWE HAMNA KITU
 
wewe sio mtoaji hata huko uliko kelele tu huna lolote lofa tu wewe.WATOAJI WANAJULIKANA WENYE KELELE KAMA WEWE HAMNA KITU
Lofa ni mama yako

Nakuambia hivii...wewe NABII TAPELI kwanini utegemee kupewa hela za watu, tafuta za kwako TAPELI WEWE...utapewa hela za wanaume sijui utailipaje kunguni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lofa ni mama yako

Nakuambia hivii...wewe NABII TAPELI kwanini utegemee kupewa hela za watu, tafuta za kwako TAPELI WEWE...utapewa hela za wanaume sijui utailipaje kunguni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hata huko unakosali ni mzigo tu kazi wanayo huko uliko kuwa na lofa kama wewe katikati yao sadaka yako kama ukitoa kiongozi wako wa dini ana haki ya kukutupia usoni na kukutimua utokomee kuzimu na visadaka vyako vya kishenzi
 
Ulivyo Mpumbavu na Mjinga unabuni vitu wewe TAPELI

Kwanza una uhakika gani Mimi nasali huko unakofikiri?

Nyie endeleeni kudanganya watu na kuiba pesa zao ila mtakuja kuzilipa.

Wezi nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ya theolojia ni muhimu, serikali imefanya sahihi kuwanusuru raia wakati ambao wameshindwa kujilinda wenyewe.
Sasa hawa Manabii wa kujiita hawaendi shule kama vyuo vya uinjilisti, Uchungaji wala Upadri

Wanaamka tu na kukariri mistari kadhaa ya Biblia kisha wanajiita Mitume na Manabii

Hawana theological way ya kucapture minds za watu na uwezo wa kumanage kanisa.

Kama huyu eti Mtume Mwamposa.

Waongowaongo tu na Wezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyo Mpumbavu na Mjinga unabuni vitu wewe TAPELI

Kwanza una uhakika gani Mimi nasali huko unakofikiri?

Nyie endeleeni kudanganya watu na kuiba pesa zao ila mtakuja kuzilipa.

Wezi nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
kokote unakosali hata uwe kwenye uislamu wewe ni zigo huko uliko,iwe katoliki wewe zigo ,uwe sabato zigo nasema dini yeyote nawapa pole hao ambao wewe ni muumini wao. Wapelekee pole zangu
 
kokote unakosali hata uwe kwenye uislamu wewe ni zigo huko uliko,iwe katoliki wewe zigo ,uwe sabato zigo nasema dini yeyote nawapa pole hao ambao wewe ni muumini wao. Wapelekee pole zangu
Huko kote unaonesha UPUMBAVU WAKO, kwasababu unabuni tu vitu kwa kuhisi

Acheni Utapeli na Wizi, tafuteni pesa kwa jasho zenu sio kwa kudanganya watu na kuiba pesa zao

Ninyi ni Kunguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom