Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Mwamposa alisoma wapi hata F6 hana, utapeli tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamposa alisoma wapi hata F6 hana, utapeli tu
Support. Wanakera. Kila kona ya mji maturubali yametanda eti ni makanisa. Unakuta imewekwa mike na muziki mkubwa, ukiangalia waliomo watano tu. Sasa mike na muziki mkubwa huo wa nn kama si utapeli tu!!!! Fungeni kabisa wafanya biashara hao.Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.
Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.
Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.
Source Clouds tv!
Wengine hatuijui elimu yake. Ebu tuhabarishe!
Wewe TAPELI KWELI ndio maana umepanic.umaskini mbaya sana marekani Mpiga ngumi Evander HOLLFIELD alitoa sadaka fungu la kumi dollar milioni 20 sawa na shilingi za tanzania bilioni 40 za Tanzaniia wewe vishilingi vyako vya sadaka elfu kumi tu kelele utafikiri unaumwa kipindupindu
uliza makanisa yote wapiga kelele wote kuwa viongozi wa dini wanakula sadaka sio watoaji iwe katoliki,angilikana.lutheran au kokote .WATOAJI HAWAPIGI KELELE
Mkuu sector ya dini inahusikaje na usalama wa mkutano? Mikutano ya kisiasa husimamowa na polisi, sio jukumu la red brigade wala green guard. Vivyo hivyo mikutano ya kidini ni MIKUTANO kama mingine.Mabasi yakipata ajali unaregulate mwendo
Sote ni mashahidi jinsi speed 80 ilivyosaidia ktk kuondoa ajali nchini
Nawapongeza wahusika kwa hilo...sana tu
vile vile ktk hili Mwamposa achukuliwe hatua na hii sekta ya dini iwe 'regulated' pia..ndo mana ya serikali kuwepo
Ilimu dunia. We need GodHata Katoliki na Lutheran shule tupu imejaa pale
uongo mbaya elimu inakuja na ustaarabu
na vitu vya kijamii kama makanisa nadhani ni sahihi zaidi yakiwa 'Taasisi'
Kuna kua na dhana ya 'udhibiti' wa nani anafanya nini na namna ya kumudu mkusanyiko huo wa watu
Kama waziri anajiuzulu kwa ajali za mabasi ilhali hajui hata chombo kiko wapi muda wa tukio iweje Mwamposa asichukuliwe hatua kwa tatizo alilotengeneza moja kwa moja...ameandaa mazingira ya utelezi afu akatoa amri wafuasi waendeMkuu sector ya dini inahusikaje na usalama wa mkutano? Mikutano ya kisiasa husimamowa na polisi, sio jukumu la red brigade wala green guard. Vivyo hivyo mikutano ya kidini ni MIKUTANO kama mingine.
Tukio lingetokea kanisani hapo sawa. Kwa mwenye ufahamu atapaswa kujiuliza polosi wanaowashusha wanasiasa wanaozidisha muda majukwaani na kuwazimia vipaza sauti walikiwa wapi?
Dereva wa basi akozidisha mwendo trafic anamsimamisha njiani, wala haifungii kampuni. Lakini ilipofikia magari yanapata sana ajali waziri alitakiwa kujiuzuru, hata wakuu wa polisi wa usalama barabarani waliwajibika. Sio kuhamisha goli, kuanza kushambulia aina za mabasi, kwamba scania zizuilowe na wote waagize isuzu, ni ujuha.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
wewe sio mtoaji hata huko uliko kelele tu huna lolote lofa tu wewe.WATOAJI WANAJULIKANA WENYE KELELE KAMA WEWE HAMNA KITUWewe TAPELI KWELI ndio maana umepanic.
Na wewe ni Nabii?
Hahaha...!
Hata kama ni 1000/= hatutoi kwa matapeli na wahuni kama ninyi.
Tafuteni pesa kwa njia zingine za jasho kijana Mwanaume, sio kwa kudanganya na kutapeli watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lofa ni mama yakowewe sio mtoaji hata huko uliko kelele tu huna lolote lofa tu wewe.WATOAJI WANAJULIKANA WENYE KELELE KAMA WEWE HAMNA KITU
Wewe ni TAPELI hutaki kutafuta hela zako kwa jasho unategea kudanganya watu upate sadaka.wewe sio mtoaji hata huko uliko kelele tu huna lolote lofa tu wewe.WATOAJI WANAJULIKANA WENYE KELELE KAMA WEWE HAMNA KITU
Hawa WAVIVU MANABII MATAPELI wanaojifanya kuanzisha Ministries wanapaswa kufungwa wote wakanyee debeTunaishukuru Serikali kwa kuwa sikivu.
wewe hata huko unakosali ni mzigo tu kazi wanayo huko uliko kuwa na lofa kama wewe katikati yao sadaka yako kama ukitoa kiongozi wako wa dini ana haki ya kukutupia usoni na kukutimua utokomee kuzimu na visadaka vyako vya kishenziLofa ni mama yako
Nakuambia hivii...wewe NABII TAPELI kwanini utegemee kupewa hela za watu, tafuta za kwako TAPELI WEWE...utapewa hela za wanaume sijui utailipaje kunguni wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya theolojia ni muhimu, serikali imefanya sahihi kuwanusuru raia wakati ambao wameshindwa kujilinda wenyewe.Hawa WAVIVU MANABII MATAPELI wanaojifanya kuanzisha Ministries wanapaswa kufungwa wote wakanyee debe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyo Mpumbavu na Mjinga unabuni vitu wewe TAPELIwewe hata huko unakosali ni mzigo tu kazi wanayo huko uliko kuwa na lofa kama wewe katikati yao sadaka yako kama ukitoa kiongozi wako wa dini ana haki ya kukutupia usoni na kukutimua utokomee kuzimu na visadaka vyako vya kishenzi
Sasa hawa Manabii wa kujiita hawaendi shule kama vyuo vya uinjilisti, Uchungaji wala UpadriElimu ya theolojia ni muhimu, serikali imefanya sahihi kuwanusuru raia wakati ambao wameshindwa kujilinda wenyewe.
kokote unakosali hata uwe kwenye uislamu wewe ni zigo huko uliko,iwe katoliki wewe zigo ,uwe sabato zigo nasema dini yeyote nawapa pole hao ambao wewe ni muumini wao. Wapelekee pole zanguUlivyo Mpumbavu na Mjinga unabuni vitu wewe TAPELI
Kwanza una uhakika gani Mimi nasali huko unakofikiri?
Nyie endeleeni kudanganya watu na kuiba pesa zao ila mtakuja kuzilipa.
Wezi nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kote unaonesha UPUMBAVU WAKO, kwasababu unabuni tu vitu kwa kuhisikokote unakosali hata uwe kwenye uislamu wewe ni zigo huko uliko,iwe katoliki wewe zigo ,uwe sabato zigo nasema dini yeyote nawapa pole hao ambao wewe ni muumini wao. Wapelekee pole zangu