PostGE2025 Simbachawene: Vifo vilivyotokea Oktoba 29 sitaki vitokee tena

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema maandamano yasiyo ya kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia kesho December 09,2025 hayana kibali na ni haramu huku akisema kama yale ya October 29 yalisababisha Watu kufariki na hasara nyingine kubwa na haya ya kesho yanasemwa yatakuwa makubwa zaidi ya yale basi kwa hakika hayo ni mapinduzi na sio tu maandamano.

1765198975010.png
Akiongea leo December 08,2025, Simbachawene amesema “Hali ya usalama wa nchi yetu mpaka sasa ni shwari inaendelea kuimarika baada ya shida tuliyoipata October 29 na vurugu zikatokea, hasara nyingi zikatokea, mali zikaharibika, Watu wakafariki, shida ambayo nisingependa itokee tena maana hasara yake mpaka sasa tunaumia nayo, nitoe pole kwa walioathirika na jambo hilo”

“Nawashukuru Viongozi wetu wa Dini bila kuwataja, kwa nyakati tofauti wametoa kauli za kutia moyo na kufundisha Waumini wao juu ya amani katika Taifa, wamefanya kazi nzuri kulituliza Taifa, December 03 Polisi walitoa taarifa ya tukio jingine linalohamasisha na Wanaharakati mbalimbali wasioitakia mema nchi yetu kwamba kesho December 09 kuna Watu wamehamasisha maandamano yasiyokuwa na ukomo”

“Maandamano hayaonekani yameombwa na nani? kwa utaratibu gani?, maandamano yanayoruhusiwa na Katiba yetu ni yale yanayoombwa na Watu mahususi na yanakuwa na ujumbe mahususi, yanaeleza yatafanyika wapi na yatatoka wapi hadi wapi ili Polisi wawe na taarifa, haya December 09 tunaambiwa ni makubwa kuliko ya October 29 yaliyosababisha Watu wakafa, sasa haya tunayoambiwa makubwa kuliko yale hayo sio maandamano hayo ni mapinduzi”

“Maandamano hayo ni haramu, hayaruhusiwi, wale ambao wanashabikia, wanaona wameichoka amani, tuwaombe sana maandamano hayo hayakubaliki kwahiyo Vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti, tunawaomba Wananchi wasiohusika na mpango huo kutoshabikia iwe mtandaoni au kujitokeza kwenda kuangalia au kuchungulia tu wanachokifanya, Wananchi wasithubutu kujitokeza maana maandamano haya ni haramu”
 
Hata leo kuna watu wanafariki, utofauti ni hao waliuwawa
 
Kuandamana wanavunja sheria gani?
 
😄 tupate channel ya wasindikizaji wanaofata mkondo.
20251208_161921.jpg
 
‎Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano
‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Mkuu kesho tuna test mitambo,wakijaribu kurusha risasi wataona cha moto
 
‎Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano
‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Bro unaangalia Sana muvi eeeh?
 
Mkuu, hii ilitupate nin kwa mfano. Hebu tuache ujinga usio kuwa na faida kwa Taifa.
Sawa, haki na madai mengine ni mhm lakin sio kwa hii njia unayoiweka hapa.
 
Naona taratibu wanaanza kufunguka kwamba kulikuwa na vifo, sasa wasemw wazi hivyo vifo vilitokana na nini, maana haikuwa Pandemic Ile kwamba iliua halaiki, pili watuambie na idadi ya vifo, tatu watupatie miili ya ndugu/Jamaa na marafiki zetu tujawazike kwa heshima, nne wahusika WA mauaji wakamatwe na kufikishwa mbele ya Sheria, hapo tutakuwa tumeanza safari ya kuliponya Taifa.
 
Mkuu, hii ilitupate nin kwa mfano. Hebu tuache ujinga usio kuwa na faida kwa Taifa.
Sawa, haki na madai mengine ni mhm lakin sio kwa hii njia unayoiweka hapa.
Mkuu Haya maneno yako ninmatamu sana ila ungeanza kumwambia Samia the Butcher aliyeuwa watoto wetu na baadae kutoka nje akijipongeza kuwa alifanya vizuri kuwaua ili kulinda Mamlaka yake.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema maandamano yasiyo ya kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia kesho December 09,2025 hayana kibali na ni haramu huku akisema kama yale ya October 29 yalisababisha Watu kufariki na hasara nyingine kubwa na haya ya kesho yanasemwa yatakuwa makubwa zaidi ya yale basi kwa hakika hayo ni mapinduzi na sio tu maandamano.

Akiongea leo December 08,2025, Simbachawene amesema “Hali ya usalama wa nchi yetu mpaka sasa ni shwari inaendelea kuimarika baada ya shida tuliyoipata October 29 na vurugu zikatokea, hasara nyingi zikatokea, mali zikaharibika, Watu wakafariki, shida ambayo nisingependa itokee tena maana hasara yake mpaka sasa tunaumia nayo, nitoe pole kwa walioathirika na jambo hilo”

“Nawashukuru Viongozi wetu wa Dini bila kuwataja, kwa nyakati tofauti wametoa kauli za kutia moyo na kufundisha Waumini wao juu ya amani katika Taifa, wamefanya kazi nzuri kulituliza Taifa, December 03 Polisi walitoa taarifa ya tukio jingine linalohamasisha na Wanaharakati mbalimbali wasioitakia mema nchi yetu kwamba kesho December 09 kuna Watu wamehamasisha maandamano yasiyokuwa na ukomo”

“Maandamano hayaonekani yameombwa na nani? kwa utaratibu gani?, maandamano yanayoruhusiwa na Katiba yetu ni yale yanayoombwa na Watu mahususi na yanakuwa na ujumbe mahususi, yanaeleza yatafanyika wapi na yatatoka wapi hadi wapi ili Polisi wawe na taarifa, haya December 09 tunaambiwa ni makubwa kuliko ya October 29 yaliyosababisha Watu wakafa, sasa haya tunayoambiwa makubwa kuliko yale hayo sio maandamano hayo ni mapinduzi”

“Maandamano hayo ni haramu, hayaruhusiwi, wale ambao wanashabikia, wanaona wameichoka amani, tuwaombe sana maandamano hayo hayakubaliki kwahiyo Vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti, tunawaomba Wananchi wasiohusika na mpango huo kutoshabikia iwe mtandaoni au kujitokeza kwenda kuangalia au kuchungulia tu wanachokifanya, Wananchi wasithubutu kujitokeza maana maandamano haya ni haramu”
Screenshot_20251119-141541~2.png
 
Msigwa alihojiwa juzi na odemba akasema vifo bado ccm hawajavithibitisha kama watu waliuwawa kweli au la.

Huyu anasema kuna watu walifariki (waliuwawa)mo29?

Yeye kathibitisha lini?
 
Back
Top Bottom