Masahihisho:Watu hawakufariki bali WALIUAWA!!
Watu waliuliwa na bvyombo vya usalama. Sema sitaki viué tena.😄 tupate channel ya wasindikizaji wanaofata mkondo.
View attachment 3513046
Watu wa ngapi waliuwawa😄 tupate channel ya wasindikizaji wanaofata mkondo.
View attachment 3513046
Mkuu kesho tuna test mitambo,wakijaribu kurusha risasi wataona cha motoWanachofeli Gen Z.
1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano
3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Bro unaangalia Sana muvi eeeh?Wanachofeli Gen Z.
1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano
3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Mkuu, hii ilitupate nin kwa mfano. Hebu tuache ujinga usio kuwa na faida kwa Taifa.Wanachofeli Gen Z.
1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano
3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
Tukipata silaha mwisho waoMkuu kesho tuna test mitambo,wakijaribu kurusha risasi wataona cha moto
Watu kama wewe ambayo Amna hoja ndio mnafiaga ndaniMkuu, hii ilitupate nin kwa mfano. Hebu tuache ujinga usio kuwa na faida kwa Taifa.
Sawa, haki na madai mengine ni mhm lakin sio kwa hii njia unayoiweka hapa.
Wala nimengalia nchi nyingine kilichotokea kutoka Arab spring Hadi BangladeshBro unaangalia Sana muvi eeeh?
Mkuu Haya maneno yako ninmatamu sana ila ungeanza kumwambia Samia the Butcher aliyeuwa watoto wetu na baadae kutoka nje akijipongeza kuwa alifanya vizuri kuwaua ili kulinda Mamlaka yake.Mkuu, hii ilitupate nin kwa mfano. Hebu tuache ujinga usio kuwa na faida kwa Taifa.
Sawa, haki na madai mengine ni mhm lakin sio kwa hii njia unayoiweka hapa.
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema maandamano yasiyo ya kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia kesho December 09,2025 hayana kibali na ni haramu huku akisema kama yale ya October 29 yalisababisha Watu kufariki na hasara nyingine kubwa na haya ya kesho yanasemwa yatakuwa makubwa zaidi ya yale basi kwa hakika hayo ni mapinduzi na sio tu maandamano.
Akiongea leo December 08,2025, Simbachawene amesema “Hali ya usalama wa nchi yetu mpaka sasa ni shwari inaendelea kuimarika baada ya shida tuliyoipata October 29 na vurugu zikatokea, hasara nyingi zikatokea, mali zikaharibika, Watu wakafariki, shida ambayo nisingependa itokee tena maana hasara yake mpaka sasa tunaumia nayo, nitoe pole kwa walioathirika na jambo hilo”
“Nawashukuru Viongozi wetu wa Dini bila kuwataja, kwa nyakati tofauti wametoa kauli za kutia moyo na kufundisha Waumini wao juu ya amani katika Taifa, wamefanya kazi nzuri kulituliza Taifa, December 03 Polisi walitoa taarifa ya tukio jingine linalohamasisha na Wanaharakati mbalimbali wasioitakia mema nchi yetu kwamba kesho December 09 kuna Watu wamehamasisha maandamano yasiyokuwa na ukomo”
“Maandamano hayaonekani yameombwa na nani? kwa utaratibu gani?, maandamano yanayoruhusiwa na Katiba yetu ni yale yanayoombwa na Watu mahususi na yanakuwa na ujumbe mahususi, yanaeleza yatafanyika wapi na yatatoka wapi hadi wapi ili Polisi wawe na taarifa, haya December 09 tunaambiwa ni makubwa kuliko ya October 29 yaliyosababisha Watu wakafa, sasa haya tunayoambiwa makubwa kuliko yale hayo sio maandamano hayo ni mapinduzi”
“Maandamano hayo ni haramu, hayaruhusiwi, wale ambao wanashabikia, wanaona wameichoka amani, tuwaombe sana maandamano hayo hayakubaliki kwahiyo Vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti, tunawaomba Wananchi wasiohusika na mpango huo kutoshabikia iwe mtandaoni au kujitokeza kwenda kuangalia au kuchungulia tu wanachokifanya, Wananchi wasithubutu kujitokeza maana maandamano haya ni haramu”