Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Msiwaamini sisiemu ndugu zangu..
Kasheshe ipo kwa huyu kijana. Nae ndio Rais mdogo..Shida watoa amri ni wengi sasa abdul nae akiwaamrisha watamsikiliza nani?
Tusuburi utekelezaji Sasa.Kasheshe ipo kwa huyu kijana. Nae ndio Rais mdogo..
Sijui kwa nini hanaga aibu huyu mwanamke. Yani aliye na maadili mema kwake huyo si mwenzake. Anapenda wale wenye tabia za ajabu ajabu.. mafisadi, wala rushwa, wauawaji, wazinzi, wasanii wasanii, waongo, etc..Huyu waziri hatochukua muda mrefu ataenguliwa hiyo nafasi na Boss wake.
Hapo Sasa ndo tutamjua mbaya ni nani.tayari ameshajitoa kwenye lawama.Huyu waziri hatochukua muda mrefu ataenguliwa hiyo nafasi na Boss wake.
Hao watekaji wanaBoss wao huyo ambae hayuko kwenye mfumo wowote rasmi. Ila wanamjua na hawana uwezo wa kumhoji. Waziri ana maanisha na anamalengo mazuri tu ya kuifanya hali ibadilike iwe nzuri. Shida iko kwa familia ya fulani, kila mtu ni Boss kwenye hii nchi.Maneno na matendo ni vitu viwili tofauti kwa CCM.
Subiri baada ya lisaa utasikia mtu katekwa watekaji wamejipaka masizi.
Huu utekaji ni moja ya sababu kubwa za maandamano kufanyika. Ingependeza kama huyo iGP wa utekaji angetumbuliwakosa dogo tu, mtu kaposti kitu mtandaoni halafu anakamatwa usiku na askari wenye silaha nzito.