Simba's hii ni skio la kufa

Simba's hii ni skio la kufa

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Mbali na kupoteza mechi ya kimataifa kizembe na ku draw na Namungo lakini bado benchi la ufundi hawajifunzi na hata wachezaj hawaoneshi seriousness ya mechi zilizobaki. Wakiingia tu mikwaju ya penality basi wamekwisha.

Yajayo yanagurahisha.
 
Mi nilitabiri Simba itapigwa na Wydad nikawaomba waje kushtaki hawakuja na Leo nilisema Tena watakandwa na Dube waje kushtaki ndo nawasubiri Niko hapa Buza kwa Mpalanger! Napata soda ya bariiidi!

Simba punguzeni mdomo sajilini Mayele! Kibu wa mechi moja hatoshi!

Na Leo Tena Makolo wamekufa kiume!
 
Itakuwa Manula kampiga kipapai salumu. Haiwezekana kipa aliyelamba 2m za emirate za mchezaji bora jana tu, leo anadaka mpira kama Ashura cheupe
 
yule Akaminko alikuwa anazunguka kama yuko peke yake pale kati,hivi chamaaaaa.....lkn basi,cjui nlitaka nseme nn yani!!!!
 
yule Akaminko alikuwa anazunguka kama yuko peke yake pale kati,hivi chamaaaaa.....lkn basi,cjui nlitaka nseme nn yani!!!!
Baada ya mwaka ujao simba atacheza champions league
 
Itakuwa Manula kampiga kipapai salumu. Haiwezekana kipa aliyelamba 2m za emirate za mchezaji bora jana tu, leo anadaka mpira kama Ashura cheupe
Goli la kwanza Ally Salum katema Mpira kizembe wababe Azam wakamaliza, goli la pili hakujipanga vizuri golini alitoka sana wakati Onyango alifanya marking baada ya uchochoro Zimbwe kufeli kuruka na mtu, goli la pili la Azam angekuwa Diarra angepangua juu! Au Bacca angeclear!

But all in all Simba ni timu mbovu yenye mdomo sana na Leo wachezaji hawakuwa na morali na walizidiwa kiungo hadi Putin akapanic akadhani ni mchezo wa kick boxer full Mateke akilipiza kwa kufanyiwa rafu mbaya!

Haya Sasa ule wakati wa kufukazana Simba umewadia! Kombe moja la Mapinduzi udhamini billion 800 za MBet hasara tupu!

Simba wameloa! Wameloaa! Simba wametepeta!

Simba ligi inayowafaa ni ndondo cup tu ligi Zote wamefeli!
 
Goli la kwanza katema Mpira wababe Azam wakamaliza, goli la pili hakujipanga vizuri alitoka sana wakati Onyango alifanya marking baada ya uchochoro Zimbwe kufeli kuruka na mtu, goli la pili la Azam angekuwa Diarra angepangua juu!

But all in all Simba walizidiwa kiungo hadi Putin akapanic akadhani ni mchezo wa kick boxer full Mateke!

Haya Sasa ule wakati wa kufukazana umewadia!
Halafu makolo walivyo hamnazo watamtimua kocha. Kosa kubwa
 
Huyu naye bado yupo simba?
Screenshot_20230507-183131.png
Screenshot_20230507-183131.png
 
Attachments

  • Screenshot_20230507-183131.png
    Screenshot_20230507-183131.png
    132.4 KB · Views: 1
Nilimuangalia CHAMA mechi 3 mfululizo ( derby, Wydad- dar + Morroco.
Ni kama amechoka kimwili. Nadhani alitumika mfululizo sana..
Mechi KUBWA kama ya leo alihitaji kuanzia benchi..( si kwamba ni mbaya , ila alihitaji kupumzika..
Nadhani kocha alihofia pressure ya washabiki ambavyo hali aliikuta... Ila nashangaa kutotumika kwa phiri..
Ila kwa yote simba ilitumia energy nyingi ....i kama SIMBA players wamekuwa demoralized na matokeo ya ACL....
 
Mbali na kupoteza mechi ya kimataifa kizembe na ku draw na Namungo lakini bado benchi la ufundi hawajifunzi na hata wachezaj hawaoneshi seriousness ya mechi zilizobaki. Wakiingia tu mikwaju ya penality basi wamekwisha.

Yajayo yanagurahisha.
Tusiwe warahisi kuhukumu kumbuka mpira ni mchezo unaohitaji sana utimamu wa mwanadamu kila sekta, tuyakubalie matokeo tuangalie wapi tumejikwaa tujitafakari upya na tujipange upya tusonge mbele.
 
Chama kafanyaje tena wanetu[emoji23][emoji23][emoji23]
mzee wa locomotive event,hana maajabu kabisa siku hz na km msimu ujao kocha atabaki kuwa robatinyo,mwamba wa lusaka anafyekelewa mbali....nipo paleeee
 
Back
Top Bottom