Mbona huu ni utaratibu wa kawaida kwa baadhi ya makabila ya west Africa.. tena wengine wanahifadhi hadi miezi 6 kabla ya kuzika..Yemi Baba ke alikufa wakahifadhi maiti Kwa miezi karibu miwili huku anaendelea na tours..
Yaani ilikuwa ushirikina mtupu Kwa maoni yangu
😀Mnapoanzaga kuleta mihemko ndo hapo tu mnapoharibu..
😂😂😂Nikiisikiliza Joromi sina kingine ninachohitaji kwa Simi. Yaani huyu dada aliua pale. Ile ngoma moja ni career nzima ya Tiwa😂😂
Camilla ni hatari. Nasikiliza hapa Never Be the same Aaaaaahwanamuziki karibia naowajua walianzia kuimba kwaya makanisani wote wanasauti za uhalisia wa kuimba...lady jay de, kanyamozi, kidumu, john legend, simi, na wengine wengi sanaa.
hata ukiusikiliza muziki wanaouimba unafanana sana pamoja na kutokea mataifa tofauti tofauti na kutumia lugha tofauti,,,,ila kuna mtu hapo juu kamtaja camila cabello aisee yule mrimbwende anaimba sana bila kumsahau anne marie.
joromiiSimi anajua sana..
✓Jericho
✓Doyin
✓Duduke
Huyu dada ana taste tamu sana
basi isikilize na hii ya something's gotta give halafu zishindanishe.Camilla ni hatari. Nasikiliza hapa Never Be the same Aaaaaah
Havana😀basi isikilize na hii ya something's gotta give halafu zishindanishe.
Mkuu hiyo Hali Ni kawaida kwa mataifa flan , Kuna rafiki yangu msouth aliniambia huwa wanahifadhi maiti mieizi kuanzia mitatu Nikabaki mdomo wazi Tena bila sababu ya maana..Yemi Baba ke alikufa wakahifadhi maiti Kwa miezi karibu miwili huku anaendelea na tours..
Yaani ilikuwa ushirikina mtupu Kwa maoni yangu
Binafsi naipenda Know youSimi anajua sana..
✓Jericho
✓Doyin
✓Duduke
Huyu dada ana taste tamu sana
Hit yake ni Before you wake upMme wake Adekunle Gold , Jamaa pia anajua kuimba ....
Utafute wimbo Wa Adekunle Gold Ft Simi - By You .... Wameimba Sana humo .. Ufundi mwingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hilo jina ndio linamuangusha sana.
Mkuu Simi Ni producer, song writter , singer na dancer ...Simi anajua sana ...lakini hapo kwa tiwa Savage mtanisamehe ..yule Dada anaimba acheni masihara basiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app