philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
- Thread starter
-
- #41
ni hatari haka kadada.Kawimbo kanakoitwa Jericho kananimalizia mb zangu tangu nipate kukasikiliza, na huyo patoranking wamekutana wote mafundi ningekuwa msanii ningemtafuta huyu Kaka tukafanya yetu aina yake ya uimbaji uchezaji unanisisimua sana
Camilla ni hatari. Nasikiliza hapa Never Be the same Aaaaaah
Camilla wa 3 ndio unapata Sia mmoja.Camilla anamzidi Sia?
😀😀Ndivyo ilivyo inawezekana unamkubari labda Yemi Alade Lkn mm simuelewi unakutaSijui kwanini sijawahi kupenda nyimbo zake!!!
Aaahghh aaghh mkuu sijapinga uwezo wake wa vipaji hivyo vingine alivyo navyo lakini katika uwezo wa kuimba Tiwa kamuacha sana....Mkuu Simi Ni producer, song writter , singer na dancer ...
Hakuna msanii wa kike Africa mwenye hivyo vipaji...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiwa kamzidi nini Simi?Aaahghh aaghh mkuu sijapinga uwezo wake wa vipaji hivyo vingine alivyo navyo lakini katika uwezo wa kuimba Tiwa kamuacha sana....
Unaweza kuwa mtunzi mzuri .DJ .dancer na producer but at the same pakawa na mtu mmoja tu mwenye kipaji kimoja katika hivyo vipaji vyote ulivyo navyo akawa anakipaji kikubwa zaidi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Melody ... Tiwa ana melody Kali sana ... Pia haimbi flat kama simiTiwa kamzidi nini Simi?
Melody ni nini mkuu mi sijuagi nipe somo kifupi/Melody ... Tiwa ana melody Kali sana ... Pia haimbi flat kama simi
Sent using Jamii Forums mobile app
Melody ni mnyumbuliko wa sauti na maneno pindi mtu anapoimba hicho kitu kinapatikana huwa ndio inachagia kwa kiasi kikubwa kuweza kufanya nyimbo za muhusika kuwa nzuri na za kusisimua .. So kuna baadhi ya watu wamejaaliwa Melody nzuri sana ..wengine nzuri kiasi .wengine wapo wapo tu hawana melody nzuri kabisaMelody ni nini mkuu mi sijuagi nipe somo kifupi/
Angelina Kidjo, Sho Madjozi, Neyma to name a few.Mkuu Simi Ni producer, song writter , singer na dancer ...
Hakuna msanii wa kike Africa mwenye hivyo vipaji...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna senorita kawa featured na shawn mendez imesimama balaaCamilla ni hatari. Nasikiliza hapa Never Be the same Aaaaaah
Huo wimbo ni fireeeeee, Simi basi tuWimbo wa kuitwa soldier wa Falz feat Simi, natamani kumdediketia mtu. Ni hatari sana hiyo kitu. Simi anajua sana, namfananisha na Ruby!
Dah naitaji soma zaidi hapaMelody ni mnyumbuliko wa sauti na maneno pindi mtu anapoimba hicho kitu kinapatikana huwa ndio inachagia kwa kiasi kikubwa kuweza kufanya nyimbo za muhusika kuwa nzuri na za kusisimua .. So kuna baadhi ya watu wamejaaliwa Melody nzuri sana ..wengine nzuri kiasi .wengine wapo wapo tu hawana melody nzuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda nawazaga kuwa mimi ndo ninayejua taste nzuri ya muziki wa kisasa bongo hii..kumbe tupo wengiSimi, crush wangu huyo manzi. Ile album yake Simisola ni tamu mnoo! Kaua sana mle,
Joromi ni ngoma ambayo masikioni mwangu haijawahi chuja
Hiyo Duduke ni kama wimbo wa taifa home, wife anaupiga kama kaimba yeye.
Yote kenda, kumi ni hili jisongi aliloshirikishana na Ladipoe linaitwa Know You.. Wee kuna maunyama sana asee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumlinganisha simisola na upuuziAaahghh aaghh mkuu sijapinga uwezo wake wa vipaji hivyo vingine alivyo navyo lakini katika uwezo wa kuimba Tiwa kamuacha sana....
Unaweza kuwa mtunzi mzuri .DJ .dancer na producer but at the same pakawa na mtu mmoja tu mwenye kipaji kimoja katika hivyo vipaji vyote ulivyo navyo akawa anakipaji kikubwa zaidi yako
Sent using Jamii Forums mobile app