Simi yuko underrated sana

Simi yuko underrated sana

Kawimbo kanakoitwa Jericho kananimalizia mb zangu tangu nipate kukasikiliza, na huyo patoranking wamekutana wote mafundi ningekuwa msanii ningemtafuta huyu Kaka tukafanya yetu aina yake ya uimbaji uchezaji unanisisimua sana
ni hatari haka kadada.
 
Simi, crush wangu huyo manzi. Ile album yake Simisola ni tamu mnoo! Kaua sana mle,
Joromi ni ngoma ambayo masikioni mwangu haijawahi chuja
Hiyo Duduke ni kama wimbo wa taifa home, wife anaupiga kama kaimba yeye.
Yote kenda, kumi ni hili jisongi aliloshirikishana na Ladipoe linaitwa Know You.. Wee kuna maunyama sana asee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Simi Ni producer, song writter , singer na dancer ...

Hakuna msanii wa kike Africa mwenye hivyo vipaji...

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaahghh aaghh mkuu sijapinga uwezo wake wa vipaji hivyo vingine alivyo navyo lakini katika uwezo wa kuimba Tiwa kamuacha sana....

Unaweza kuwa mtunzi mzuri .DJ .dancer na producer but at the same pakawa na mtu mmoja tu mwenye kipaji kimoja katika hivyo vipaji vyote ulivyo navyo akawa anakipaji kikubwa zaidi yako

Tiwa kamzidi nini Simi?
 
Melody ni nini mkuu mi sijuagi nipe somo kifupi/
Melody ni mnyumbuliko wa sauti na maneno pindi mtu anapoimba hicho kitu kinapatikana huwa ndio inachagia kwa kiasi kikubwa kuweza kufanya nyimbo za muhusika kuwa nzuri na za kusisimua .. So kuna baadhi ya watu wamejaaliwa Melody nzuri sana ..wengine nzuri kiasi .wengine wapo wapo tu hawana melody nzuri kabisa

Dah naitaji soma zaidi hapa
 
Sime ni baddest jamani simlinganishi na yeyote kwa female artist wa kinageria! Kwangu mimi yupo kwenye category yake tu peke yake halafu hata siijui jina! Simi ni fireee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simi, crush wangu huyo manzi. Ile album yake Simisola ni tamu mnoo! Kaua sana mle,
Joromi ni ngoma ambayo masikioni mwangu haijawahi chuja
Hiyo Duduke ni kama wimbo wa taifa home, wife anaupiga kama kaimba yeye.
Yote kenda, kumi ni hili jisongi aliloshirikishana na Ladipoe linaitwa Know You.. Wee kuna maunyama sana asee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda nawazaga kuwa mimi ndo ninayejua taste nzuri ya muziki wa kisasa bongo hii..kumbe tupo wengi

Know You aliyoshirikishwa na Ladipoe nayo ni unyama mtupu
I
 
Aaahghh aaghh mkuu sijapinga uwezo wake wa vipaji hivyo vingine alivyo navyo lakini katika uwezo wa kuimba Tiwa kamuacha sana....

Unaweza kuwa mtunzi mzuri .DJ .dancer na producer but at the same pakawa na mtu mmoja tu mwenye kipaji kimoja katika hivyo vipaji vyote ulivyo navyo akawa anakipaji kikubwa zaidi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumlinganisha simisola na upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom