kariobangii
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 515
- 671
Hakubaka huyo, wote wanalingana rika, hiyo ni "ashki majnun".
Kiislam hapo litakiwa walambwe viboko wote wawili halafu waowane.
Hao vijana ni afadhali kuliko wale wanaofanya ushoga na kusagana.
huyo anajichanganya hakuna mtazamo wa hivyo katika uislamKila siku nazidi kuthibitisha wewe sio mzima.
Kulingana rika ndio ruksa ya kumuingilia mwingine kimwili bila ridhaa yake?
Uislamu unalazimisha mwanamke kuolewa na mbakaji wake Kisa wanalingana umri?
Mahakama za Juvenile kazi yake nini? Magereza ya Juvenile yametengwa kwa ajili ya nani?
Ubakaji ni kosa la jinai, ni kitendo kinachodhuru mwili na afya ya akili. Kubakwa sio starehe ni udhalilishaji.
Mkuu hatujawasikiliza wahusika huyo kijana wa kiume na binti. Mi sidhani kama hakimu ni mpuuzi kutoa adhabu hiyo ambayo nadhani wewe unaona haifai kwa hilo kosa naamini kuna mazingira fulani hakimu aliyashtukia kwenye maelezo ya hao madogo.
Nakwambia hivi kwasababu mimi kwenye utoto wangu around miaka 16 kuna mama mmoja alinikuta kwake na binti yake nae umri huo huo alivyokuja kusema kwa wazazi wangu alimpanga mwanae aseme nilimlazimisha huku tulikubaliana ( halafu nilikuwa mrefu kabinti kadogo dogo unaweza kuamini yaani) sijui walimalizana vipi na wazazi wangu baadae ila nahisi alitaka kuomba hela.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Aisee hakimu kamfundisha uuzaji wa nyabe tena kwa gharama kubwa maana huku mtaani huwa nyabe ni tshs 20,000/- mpaka asubuhi. Dogo kalamba kimoja tu kwa gharama kubwa pole zake.Mtoto amebakwa mahakama inasema hajabakwa ila amlipe ujira wa uchangudoa! Haikubaliki kitendo cha mahakama kumfundisha mtoto kuwa mwanaume akikuingilia basi ni lazima akulipe pesa ya huduma.
Qur'an 24:kiislam
kwa dalili ipi?
Miaka ya "new age" hii, kila mmoja wetu ni mwandishi. Sema usikike.Waandishi pia wanaoleta Habari wawe wanatupa na background ya tukio na picha halisi ya mazingira wakati wa tukio.
Hujaelewa. Itakua huyo binti alikua bikra. Alipotolewa, akapiga kelele watu wakakusanyika.Mtoto amebakwa mahakama inasema hajabakwa ila amlipe ujira wa uchangudoa! Haikubaliki kitendo cha mahakama kumfundisha mtoto kuwa mwanaume akikuingilia basi ni lazima akulipe pesa ya huduma.
Qur'an 24:
2. Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini. 2
3. 3mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo ya. Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke meharimishwa kwa Waumini. 3
Sasa hizo Ayat ni dalili ya ubakaji na sio uzinifu?Qur'an 24:
2. Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini. 2
3. 3mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo ya. Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke meharimishwa kwa Waumini. 3
Siyo Polisi ni Magereza bwashee.Viboko vya Polisi nasikia ukichapwa viwili ndio wanahesabu kimoja...
Hakimu aliyetowa adhabu hiyo aliyotowa naamini ana hekima sana ana kaiona siyo kesi ya ubakaji akaona inabidi kijana atiwe adabu ya viboko.Sasa hizo Ayat ni dalili ya ubakaji na sio uzinifu?
kwa hiyo anayebakwa anakuwa kafanya uzinifu?
Fahamu katika uislam sharti la
ndoa ni pamoja na ridhaa
usitafsiri aya
kwa matamanio na
ufahamu wako
jifunze kwanza kabla ya kauli
kumbuka kwa mujibu wa
uislam hao ni mukhalaf kwa maana wameishabaleghe kwa hiyo usitafsiri uislam kwa mtazamo wa
kimagharibi
Naona wewe ndiye mwenye kutafsiri, sijaongeza langu hata herufi moja, nimeziweka aya kama zilivyotafsiwa na Barwani, usiuogope ukweli.Sasa hizo Ayat ni dalili ya ubakaji na sio uzinifu?
kwa hiyo anayebakwa anakuwa kafanya uzinifu?
Fahamu katika uislam sharti la
ndoa ni pamoja na ridhaa
usitafsiri aya
kwa matamanio na
ufahamu wako
jifunze kwanza kabla ya kauli
kumbuka kwa mujibu wa
uislam hao ni mukhalaf kwa maana wameishabaleghe kwa hiyo usitafsiri uislam kwa mtazamo wa
kimagharibi
Huo ndiyo ukweli,dada yawezekana alielewana na jamaa,akaenda kutolewa bikra,alivyopata maumivu,akapiga yowe,walivyokuja wadau,wakashindwa kutumia busara,wakaenda polisi.Huku Afrika,bikra inatolewa kwa lazima,yaani kikatili,ukiremba huitoi,na iko wazi kua wadada huanzwa maranyingi kinguvunguvu,baadae ndo hiyari hufuata.Hujaelewa. Itakua huyo binti alikua bikra. Alipotolewa, akapiga kelele watu wakakusanyika.
Kujitetea ikabidi aseme kabakwa bila kuelewa madhara ya mwenza wake.
Wananchi wakaamua kumpeleka polisi kwa shtaka la kubaka lakini kwa akili ndogo nilizonazo, naona kabisa walikubaliana hao vijana
Barwan hajatafsiri Bali kafanya TarjamaNaona wewe ndiye mwenye kutafsiri, sijaongeza langu hata herufi moja, nimeziweka aya kama zilivyotafsiwa na Barwani, usiuogope ukweli.