Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Gentleman,Hii ndio Taarifa ya sasa inayosambaa kwa kasi kila mahali
Mpango huu kabambe unaongozwa na John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho
Wathubutu kumgusa nchi ichafuke!Chadema wanatakiwa waje na mpango maalum wa kumlinda Heche, tabia ya kupiga picha gari ya wanaomfuatilia na kufuatilia chasis number ya gari haina maana.
Wawe serious, waongee na hao wafuatiliaji "face to face" kuwauliza shida yao ni ipi, kama ikilazimu wakaripoti shida yao polisi Heche aitwe huko akatoe maelezo.
Hawa wafuatiliaji wa kinya kinya tulishaona yaliyomtokea Lissu, hawa tunawaona wakiwa kwenye gari tu lakini hatujui mpango wao kwa Heche ni upi, hawa sio viumbe wa kuwaendekeza ili tusijejuta mbele ya safari.
Hiyo gari inayomfuatilia Heche kila siku lazima ikomeshwe kufanya hivyo. Tusiendelee kulea ujinga kisha tuanze kulia baadae huku wao wakiwa wameshakimbia.
Usalama wake is my concernHii ndio Taarifa ya sasa inayosambaa kwa kasi kila mahali
Mpango huu kabambe unaongozwa na John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho
Nadhani dawa ni kuchoma moto gari yaoChadema wanatakiwa waje na mpango maalum wa kumlinda Heche, tabia ya kupiga picha gari ya wanaomfuatilia na kufuatilia chasis number ya gari haina maana.
Wawe serious, waongee na hao wafuatiliaji "face to face" kuwauliza shida yao ni ipi, kama ikilazimu wakaripoti shida yao polisi Heche aitwe huko akatoe maelezo.
Hawa wafuatiliaji wa kinya kinya tulishaona yaliyomtokea Lissu, hawa tunawaona wakiwa kwenye gari tu lakini hatujui mpango wao kwa Heche ni upi, hawa sio viumbe wa kuwaendekeza ili tusijejuta mbele ya safari.
Hiyo gari inayomfuatilia Heche kila siku lazima ikomeshwe kufanya hivyo. Tusiendelee kulea ujinga kisha tuanze kulia baadae huku wao wakiwa wameshakimbia.
Uko sahihi kabisa and one step further, toa ripoti polisi, toa ripoti mamlaka za nje za usalama wajue kinachoendelea juu yake with reference to Lisu's shooting!Chadema wanatakiwa waje na mpango maalum wa kumlinda Heche, tabia ya kupiga picha gari ya wanaomfuatilia na kufuatilia chasis number ya gari haina maana.
Wawe serious, waongee na hao wafuatiliaji "face to face" kuwauliza shida yao ni ipi, kama ikilazimu wakaripoti shida yao polisi Heche aitwe huko akatoe maelezo.
Hawa wafuatiliaji wa kinya kinya tulishaona yaliyomtokea Lissu, hawa tunawaona wakiwa kwenye gari tu lakini hatujui mpango wao kwa Heche ni upi, hawa sio viumbe wa kuwaendekeza ili tusijejuta mbele ya safari.
Hiyo gari inayomfuatilia Heche kila siku lazima ikomeshwe kufanya hivyo. Tusiendelee kulea ujinga kisha tuanze kulia baadae huku wao wakiwa wameshakimbia.
Apewe hata walinzi 10. Nyumba iwekwe poweful cctv zenye kuonesha sura hata kutokea kwa mbali. Picha za juzi sura huwezi kuzitambuaNadhani dawa ni kuchoma moto gari yao
Muhimu wajue ujinga wao wa kumfuatilia mtu haukubaliki, ukomeshwe.Nadhani dawa ni kuchoma moto gari yao
Lijizi na lipenda rushwa nalo limekazana kupostGentleman,
naskia makamu mwenyekiti wa chadema taifa amenusurika kupigwa na watu wanaotaka arudishe pesa za chama alizofisidi 🐒
Gentleman,

Nchi ichafuke wapi na weweWathubutu kumgusa nchi ichafuke!
Sasa anzia hapo ulipopagusa wewe.Apewe hata walinzi 10. Nyumba iwekwe poweful cctv zenye kuonesha sura hata kutokea kwa mbali. Picha za juzi sura huwezi kuzitambua
Hacha kama nikula pesa hale kwani shida niniSimiyu wamefikiwa na fisadi Heche. Ni zamu yao kumchangia fisadi Heche.
Mchezo ulibuma na sasa mnatuma watekajiSimiyu wamefikiwa na fisadi Heche. Ni zamu yao kumchangia fisadi Heche.
Duuh watu wameamuaHii ndio Taarifa ya sasa inayosambaa kwa kasi kila mahali
Mpango huu kabambe unaongozwa na John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho
Hivi wale wasiomtaka Heche CDM walikuwa wapi kabla ya tone tone?Hii ndio Taarifa ya sasa inayosambaa kwa kasi kila mahali