Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #21
Wamelipwa hela ndogo mno!Hivi wale wasiomtaka Heche CDM walikuwa wapi kabla ya tone tone?
Na je, wanaweza kuonesha Dunia michango yao ikiwamo jinsi ilivyoliwa?
Na vipi nguvu hizo hizo watatumiwa kudai uwajibikaji kwenye ripoti za CAG?
Asante for your observation!Sasa anzia hapo ulipopagusa wewe.
Ulinzi wa Heche uwepo wa wazi na usiokuwa wa wazi.
Huo usiokuwa wa wazi uimarishwe zaidi, na ndio utakaokuwa unafanya kazi kama hiyo ulioeleza kimya kimya.
Ulinzi wa nini tena kamanda?Sasa anzia hapo ulipopagusa wewe.
Ulinzi wa Heche uwepo wa wazi na usiokuwa wa wazi.
Huo usiokuwa wa wazi uimarishwe zaidi, na ndio utakaokuwa unafanya kazi kama hiyo ulioeleza kimya kimya.
Sasa wewe linakuhusu vipi hili hadi uwashwewashwe namna hii.Ulinzi wa nini tena kamanda?
Si jabali huyo au?
Heche hakuna anaemtafuta acheni porojo.
Nadhani hata kurushwa watarushwa!Wamelipwa hela ndogo mno!