Pre GE2025 Simiyu: CHADEMA yapata pigo Wanachama 60 wahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wameshaanza kununua wanasiasa na wanachama

kwa nini wanunue wanasiasa wa upinzani na sio kuwatengeneza ndani ya chama chao
Basi subiri utakapoona chama kinafungwa makao makuu na viongozi wake wote kuhamia CCM
 
What's wrong,

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewapokea wanachama zaidi ya 60 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuhamia CCM katika wilaya ya Itilima mkoani Simiyu

Mapokezi hayo yamefanyika wakati Dkt. Nchimbi akiwa katika ziara yake mkoani Simiyu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Itilima na wafuasi wake wamehamia Chama cha Mapinduzi CCM ambapo Dkt. Nchimbi amesema wanachama wamehamia CCM kwa kuona maendeleo na kazi nzuri inayofanywa na Viongozi wa chama hicho.

"Ndugu zetu kutoka upinzani, zaidi ya 60 wamejiunga na CCM leo na wamejiunga baada ya kushawishika na kazi nzuri za maendeleo zilizofanyika lakini pia wamefarijika na kazi zinazofanywa na mbunge wenu” Amesema Dkt. Nchimbi.

Soma Pia: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi azifunga Ofisi za CHADEMA Itilima Mkoani Simiyu mbele ya Maelfu ya Wananchi


Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • Screenshot_20241008-164326.jpg
    407.6 KB · Views: 3
Kitafungwa na Lucas
Katibu Mkuu wetu atakuja kuzifunga ofisi zenu hapo Ufipa😀😀😀.maana kwa sasa viongozi wenu wamejikatia kabisa tamaa.si unaona mnyika anavyolialia na kulalamika lalamika kama mtoto mdogo eti akitaka serikali imsaidie kuhamasisha watu kwenda kujiandikisha kwenye daftari la orodha ya mpiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…