Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Shetani wewe utasubiri snTafuteni na kuanzisha ofisi kwingine.Bado ofisi za kanda nazo zinakwenda kufungwa zote kabla ya kufunga makao makuu.utaona utakavyo kufa na njaa na ujinga wako kichwani
Ni wana CCM wamevalishwa mavazi ni utapeli tupuSi kuna uzi kwamba hao si wanachama wa chadema bali msigwa ameokoteza mtaani na kumdanganya mchimbi na makala.
Kaa kwa kutulia uone moto wake Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi jasusi mbobevu na mwenye kupiga siasa za kisayansi.Shetani wewe utasubiri sn
Unadanganywa uaingia mzima mzima kwa vile huna akili, kadi za CHADEMA ni digitalKaa kwa kutulia uone moto wake Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi jasusi mbobevu na mwenye kupiga siasa za kisayansi.
Ccm imebaki na wajinga na wapumbavu wanaojifariji jf wakati mitaan kila Kona mmechapika, Kwa taarifa yako Leo huyo katibu wenu huko maswa uliza alikuwa na genge gani.CHADEMA imebaki jina tu au mkusanyiko wa wasaka Tonge na wachumia tumbo wachache wasio na Dira wala muelekeo zaidi ya maslahi ya matumbo yao kuponya na kuganga njaa tu.
CHADEMA ndio imekufa kabisa katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.ndio maana unaona hata maandamano yalifeli kabisa mpaka kufikia hatua ya kukosekana kabisa watu wa kuandamana zaidi ya Mbogwe ,mke wake na mwanae ambao wana maslahi yao ndani ya CHADEMACcm imebaki na wajinga na wapumbavu wanaojifariji jf wakati mitaan kila Kona mmechapika, Kwa taarifa yako Leo huyo katibu wenu huko maswa uliza alikuwa na genge gani.
Huwezi ukaelewa kitu chochote kile maana kichwani mwako najua umeshajaa kichwani mwako.Unadanganywa uaingia mzima mzima kwa vile huna akili, kadi za CHADEMA ni digital
Fanya utafiti acha kukaririshwaHuwezi ukaelewa kitu chochote kile maana kichwani mwako najua umeshajaa kichwani mwako.
Hakuna mzalendo wa hivyo.endelea kudanganyana na wajinga wenzio.Mimi ni mzalendo wa kweli.
Ukiuliza hivyo unakosea. Hiyo ndio inayoitwa "Si Hasa" Sumaye, Lowassa, Kingunge, Lipumba, Mapesa, Lyatonga n.k. walitengenezwa na CCM lakini wakahamia upinzaniCCM wameshaanza kununua wanasiasa na wanachama
kwa nini wanunue wanasiasa wa upinzani na sio kuwatengeneza ndani ya chama chao
Mimi ni mzalendo ndugu yanguHakuna mzalendo wa hivyo.endelea kudanganyana na wajinga wenzio.
Sasa ofisi zitaendelea vipi bila wanachama na hata viongozi?Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa Mipawa, pamoja na wanachama wao zaidi ya 60, wamehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wake, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Luguru, wilayani Itilima.
Yaani kumbe watu wakihama basi ofisi nazo zinafungwa?! Waambie moderators wabadilishe kichwa cha habari. Habari zisizo na kichwa wala miguu, yaani Terry Kilugala na wenzake wamekwenda CCM ndo ofisi za CHADEMA zifungwe!?? Upo serious kweli!??
Hata kama ni mapambio na kutafuta teuzi kwenye mikeka ya Samia, hii imezidi! Kuna wakati mnaonekana The Walkers kwenye tamthilia ya The Walking Dead ๐
Kama hayati Magufuli na ubabe wote ule bado ofisi za CHADEMA hazikufungwa sembuse huyu Emmanuel Nchimbi! We una masihara! Acha kufanya mapambio ya ajabu namna hii! Ofisi za CHADEMA haziwezi kufungwa sio na Nchimbi wala Samia! Kuleni chuma hicho!